Emanuel Eckson
Member
- May 24, 2017
- 11
- 14
Duh,unavuka mipaka sasaKazi za kufanywa na waziri wa mambo ya ndani,kutwa anazurura nchi imejaa tozo,mfumuko wa bei,mgao wa umeme...ndio shida ya kua raisi kwa katiba bila kupigiwa kura
JK wa pili#ARUSHA: Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani kitaifa yatakayofanyika mkoani humo kuanzia tarehe 23.11.2021 katika Uwanja wa Shekh Amri Abeid Karume.
Kamanda Masejo ameyasema hayo jana Novemba 12, 2021 wakati akiongea na waandishi wa Habari katika kituo kikuu cha polisi Arusha.
Chanzo: Serengeti PostView attachment 2009315
Waache wakaimbe mapambio!Si amalizie Mwenyekiti wa usalama barabarani kitaifa.
Mama akague mafaili wala rushwa barabarani awatumbue