Rais Samia Suluhu Hassan, mteue Zitto Zuberi Kabwe awe Mbunge akaongeze chachu ya hoja Bungeni

Zitto alipigwa jimboni sasa anaombewa ubunge wa hisani
 
Hahaaaa mwami kama mwami sasa anaombewa Ubunge kwa Mama , hatari sana yaani mambo yanakwwenda kasi sana jamani
 
Wanakigoma mpaka sasa wanashangilia kugaragazwa kwa huyo jamaaa yenuuu. Kama zito anafaa siuombe aje awe mbunge wa jumbo lenu hapo ufipani??
 
kazi za mbunge ni.kujenga hoja kwa ajili ya watu wa jimboni.kwake bungeni .Zitto hoja zipi nzito alizowahi jenga kwa ajili ya jimbo lake? Lisu pia hoja zipi alizowahi jenga kwa ajili ya watu wa jimbo lake? tuanzie hapo
 
Katika miaka yake 15 bungeni ambayo alikuwa anafanya ukosoaji nini kimebadilika??
Kukosoa kwa staha, kwa lugha ya Kibunge, na hoja ikafanyanyiwa kazi na Serikali, kwa mujibu wa Katiba yetu, inabidi awe Bungeni.
Ndiyo, ni vizuri kukosoa ukiwa Bungeni.
 
TANZANIA INA WATU WENGI WENYE UWEZO SAWA NA ZITTO NA WAPO WALIOMZIDI, SEMA HAWAJAPATA FURSA ALIZOWAHI PATA ZITTO. NAFIKIRI ILI UPINZANI UJIIMARISHE NI VYEMA WASIWE WANAPEWA VYEO VYA HISANI KWANI VINALETA UKAKASI HUKO MBELENI JARIBU KUMUWAZA A.E. MREMA, NA MBATIA JE VYEO WALIVYPEWAGA VILISAIDIA JAMII YAO AU WATZ ZAIDIZAIDI VILIWASAIDIA WAO KWA MUDA FULANI MWISHOWE VIKATUONDOLEA IMANI KWAMBA WALE NI WAPINZANI HALISI, SISHAURI ZITTO AINGIE KWENYE MTENGO HUO KWANI BADO ANANAFASI YAKUFANYA HAYO UNAYOSEMA NA ZAIDI AKIWA NJE YA BUNGE CHA KUSHAURI NI PAWEPO NA TAASISI IMARA NA MADHUBUTI YENYE KUHESHIMU SHERIA NA HAKI YA RAIA WAKE, UHURU WA MAWAZO KINZANI HATA KAMA MUNATOKA CHAMA KIMOJA PASIWE NA WEWE NI MWENZETU USITUKOSOE. HATA NDANI YA CCM WAKIACHA U CCM WAKAJIPAMBANUA KUIJENGA TANZANIA KULIKO KUWAZA CHAMA WANAWEZA TUSAIDIA SANA.(REJEA BASHE KABLA YA KUPEWA UNAIBU WAZIRI PIA REJEA NAPE BAADA YAKUTUMBULIWA UWAZIRI WA HABARI) ALAFU HEBU TUWATIZAME KAMA JENERAL ULIMWENGU, ISSA SHIVYA , TUNDU LISU N.K WASIKUTANENA VIZUIZIVYOVYOTE PALE WANAPOTOA MAWAZO HURU NACHNYA AMBAYO NI MWARUBAINI WA SEREKALI
 
Ubunge wa viti maalum na kuteuliwa ufutwe.
Ni ufujaji tu wa pesa za walipa kodi wavuja jasho.
Unapendekeza nani aende huko badala ya Zitto?
Huko nyuma, Rais Kikwete aliwahi kumteua Mhe. Mbatia kuwa Mbunge.
 
Kamanda Mbowe ni kada mtiifu sana wa CCM kuliko Zitto
Vitu vingine ni siri, haswa zile siri unazozipata wakati wa mambo yetu yale, mtu anajikuta anasema kila kitu, hivyo sio vizuri kutoa nje siri za ndani hivyo!.
Hata wasiojua kuwa ulikuwa naniliu, wanajua!. Siri nyingine mezea!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…