Wewe unajulikana hapa Jf?!
Wewe ungecomment wapi?Ungekaa kimya ingesaidia.
Toka awamu ya tano iingie madarakani matukio ya kutekwa, kushambuliwa na kuuawa yalikuwa yakidaiwa kutekelezwa na watu wasiojulikana.
Hadi hii leo ninapotoa ombi langu hili kwako, watekelezaji wa vitendo hivyo vya kutisha hawajaweza kubainika ni akina nani zaidi ya wasiojulikana.
Katika hiyo miaka mitano utekaji, mateso na mauaji tumewapoteza wananchi lukuki na mara zote vyombo vyetu vya usalama vilidai ni wasiojulikana.
Nakuomba uunde tume huru kufanya uchunguzi ili uweze kutegua kitendawili cha hicho kikundi hatari cha watu wasiojulikana ili waweze kujulikana.
Huyu Ni mmoja wao pengine,hofu.Ungekaa kimya ingesaidia.
Naunga mkono hoja yako mkuu.Toka awamu ya tano iingie madarakani matukio ya kutekwa, kushambuliwa na kuuawa yalikuwa yakidaiwa kutekelezwa na watu wasiojulikana.
Hadi hii leo ninapotoa ombi langu hili kwako, watekelezaji wa vitendo hivyo vya kutisha hawajaweza kubainika ni akina nani zaidi ya wasiojulikana.
Katika hiyo miaka mitano utekaji, mateso na mauaji tumewapoteza wananchi lukuki na mara zote vyombo vyetu vya usalama vilidai ni wasiojulikana.
Nakuomba uunde tume huru kufanya uchunguzi ili uweze kutegua kitendawili cha hicho kikundi hatari cha watu wasiojulikana ili waweze kujulikana.
Kwani wewe unajulikana? Acha kwanza wewe kujulikana kisha na hao wasiojulikana wenzako wajulikane, kwanini watizama kibanzi kwenye jicho la jirani yako wakati jicho lako linabolt.Toka awamu ya tano iingie madarakani matukio ya kutekwa, kushambuliwa na kuuawa yalikuwa yakidaiwa kutekelezwa na watu wasiojulikana.