Rais Samia Suluhu kumshukuru kwa ishara mhudumu wa Air Tanzania ni ishara ya Utumishi unaoheshimu wadogo na wakubwa

Hivi haya mambo ya kusifia kila kitu nilidhani / nili-hope kwamba yatakuwa yamefikia kikomo....

Tusije tukarudi kule kule tulipotoka kwa watendaji badala ya kutenda wakawa wasifiaji
 
Jiwe alituweka wakati mgumu sana.
 
Halama ndio nini we jamaa
 
Yaani tuliteseka sana miaka mitano iliyopita,
Na tulikuwa tunalazimishwa kusikiliza maana mezia zode ilikuwa lazima ziwe live
Hatukufa lkn cha moto tulikiona
 
Usichokijua huyo muhudumu ni ofisa wa juu wa kitengo.wanajuana hao
 
We ulikula shingapi mwaka 2015, maana umekuwa msafishaji mkubwa wa madudu ya mwenyekiti hapa jukwaani. Hata hivyo tetea yako haisaidii kuwaingiza wapinzan ikulu daima.
Corona inaua
 
Usichokijua huyo muhudumu ni ofisa wa juu wa kitengo.wanajuana hao
Haitusaidii sisi tunacho kisifu ni utayari wa rais kujishusha kwa watanzania na siyo kufokafoka tuuu kama watu wa hi hop
 
Nimetamani kuona hii clip,ni heshima kubwa sana
 
Tunaomba video yake na sisi tuone maana yakuambiwa tuchanganye na yakwetu
 
 
Haitusaidii sisi tunacho kisifu ni utayari wa rais kujishusha kwa watanzania na siyo kufokafoka tuuu kama watu wa hi hop
Hizo zote ni tabia za binadamu kwa akili yako fupi ulitegemea wafanane!!??
 
Tanzania ni yetu sote. Mpaka yule mzibua choo kisijae kikaleta kipindupindu ni shujaa wa nchi.
 
Huyu Mheshimiwa mpya enzi za jiwe atakuwa aliishi kwa shida sana,
 
Nadhani ni protocol kujibu salute ndo chombo kondoke, refer hii ya Obama.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…