Rais Samia Suluhu kumshukuru kwa ishara mhudumu wa Air Tanzania ni ishara ya Utumishi unaoheshimu wadogo na wakubwa

Rais Samia Suluhu kumshukuru kwa ishara mhudumu wa Air Tanzania ni ishara ya Utumishi unaoheshimu wadogo na wakubwa

Hakuna lolote nyinyi nyumbu wafuata upepo mnajua kwa sasa Saccos ya Chadema hailipi sasa mnajipendekeza kwa CCM tu kupitia Mama Samia.

Pitia popote kwenye post zangu uone kama kuba hata moja yenye kujipendekeza. Hapa watu tunaweka ukweli kuwa jiwe alikuwa ibilisi, huku huyu mama akijitenga na udhalimu wake fullstop.
 
Pitia popote kwenye post zangu uone kama kuba hata moja yenye kujipendekeza. Hapa watu tunaweka ukweli kuwa jiwe alikuwa ibilisi, huku huyu mama akijitenga na udhalimu wake fullstop.
Kwahiyo umehama saccos ya Chadema mkuu?
 
Sijawahi kujipendekeza na ccm maisha yangu yote, na sintokaa. Hapa tunatoa mahesabu ya ibilisi Mkuu aliyewahi kutokea kwenye nchi hii.
Unapojipendekeza kwa Rais Mama Samia huoni huyo ni kiongozi wa CCM au unafikiri anatoka CDM??!
 
Unapojipendekeza kwa Rais Mama Samia huoni huyo ni kiongozi wa CCM au unafikiri anatoka CDM??!
Amekalia kiti cha urais wa nchi, hapa hatuongelei mwenyekiti wa ccm. Na zaidi hapa sio uccm wake, bali kujitenga na tabia za yule shetani.
 
Gharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani [emoji120][emoji120][emoji120]
V8 200 piga mahesabu ya mafuta dar to dodoma
 
Wakati Mhe. Rais anaingia jijini Dar akitokea Dodoma ameonekana akitoa shukrani kwa muhudumu wa ndege Jambo ambalo viongozi wengi awafanyi kwa watumishi wa chini yao.

Viongozi wengi wanapopata madaraka wamekuwa watu wa dharau na kufoka kwa walio chini yao. Wengi wamekuwa watu wakuona mapungufu kwa wadogo na si mazuri.

Nikupongeze Mhe. Rais kwa ulichokifanya, najua ukujipanga kufanya hivyo ila umefanya kwa sababu ndivyo ulivyolelewa na kukuzwa. Ila baada yakufanya hivyo sisi wa chini yako na wananchi tumeitafsiri hii Kama ishara yakurudisha nidhamu na heshima ndani ya Utumishi na jamii kwa mkubwa kumheshimu mdogo kadhalika kwa mdogo kumheshimu mkubwa.

Umemtia moyo sana huyo muhudumu wa ndege lakini pia umewatia moyo wengi waliokuwa na hofu dhidi ya watu wenye madaraka.

Niwatake viongozi wengine mjifunze kuheshimu walinzi, wapishi, wafanyakazi wa ndani, wahudumu, wasaidizi na kila mtu unayeinteract naye katika maisha binafsi na maisha ya kazi. Tuache kujimwambafai tukiamini titaogopeka.

Respect my president.
Huyo mfanyakazi wa ATCL anaweza kuwa mtoto au ndugu wa Rais au wa Kiongozi mwenzake maana mtoto wa mfanyakazi au wa mkulima kupata kazi ya kwenye ndege ni vigumu sana bila godfather.
 
Back
Top Bottom