PostGE2025 Rais Samia Suluhu kuzindua Tume Huru ya Uchunguzi matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

PostGE2025 Rais Samia Suluhu kuzindua Tume Huru ya Uchunguzi matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan atazindua Tume Uhuru ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi.
-2010201603.jpg
 
Huo ni uharibifu wa pesa za walipa kodi. Kwa kuwa wajumbe hao wote siyo huru na baadhi yao ni watuhumiwa, Tume yao haiwezi kuwa huru
 
Sasa mmeshasema ni matukio ya uvunjifu wa amani...hamsemi ya mauaji ya raia wasio na silaha..

Zindueni na sisi tumeshazinduka
 
Huo ni uharibifu wa pesa za walipa kodi. Kwa kuwa wajumbe hao wote siyo huru na baadhi yao ni watuhumiwa, Tume yao haiwezi kuwa huru
Aidha, Tume wala haijapewa timeframe ya kufanya kazi yao. Rais aliunda Tume ya kuchunguza utekaji wa Sativa na mauaji ya Ali Kibao. Mpaka kesho bado tunasubiri taarifa.
 
Back
Top Bottom