ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Tutatumia akili inapobidi, na Tutatumia nguvu inapobidi, hatuwezi cheka na watu wanaocheza na usalama wa mifugo yetu, tutawatia maumivu hawatokaa wasahau, na siku nyingine watafata utaratibu watake au wasitakeTunashauriwa tutumie' akili zaidi kuliko maguvu' katika mambo yetu mengi tunayojaribu kufanya, ili kuleta ufanisi wa kudumu, kwa mambo mengi tunayofanya....kazi iendelee.
Hivi vifaranga wale kama wangerudishwa walikotoka mngepungukiwa na nini ?Tutatumia akili inapobidi, na Tutatumia nguvu inapobidi, hatuwezi cheka na watu wanaocheza na usalama wa mifugo yetu, tutawatia maumivu hawatokaa wasahau, na siku nyingine watafata utaratibu watake au wasitake
Eti magufuli mwamba wa mageuzi,, "" uyo mungu wenu wa kisukuma alikuwa ana roho ya kishetani,,imeharibu image ya nchi kimataifa, tangu afe yeye wananchi sasa wana amani kwenye mioyo yao,wafanyakazi pia wana amani aswaa, watu walikuwa wanaishi kwa hofu kipindi cha mjaa laana,mwenye pepo la kupenda damuMkuu kunywa Soda moja nitalipa. Mimi nawashangaa. Hivi issue mara ya Vifaranga, je wanajua Wakenya Wametufanyia mangapi sisi? Je ni Magufuli alisema chomeni vifaranga? Wanaokoteza vitu vidogo vidogo mno.
Hayati Dr. Magufuli kipenzi cha Watanzania walio wengi hayupo wao wanapambana naye. Ni aibu. Chadema tunawakumbusha 2025 si mbali, mjipange msijeanza kulia. Mnakomaa na Hayati, kule Samia anatekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, 2025 atakiwaleza wananchi nini amefanya kama atagombea yeye kura chungu nzima kwake ama kwa mgombea wa CCM wa wakati huo, ninyi mnabaki kulalama.
Badilikeni basi. Msitafte cheap politics, jipangeni 2025 mtakuwa na Sera gani Mbadala wa Sera za CCM ili Mshinde. Kitu ambacho mnasahau ni kwamba Hayati JPM alikuwa ni Kipenzi Cha wengi, mkimsema vibaya tu kura zinapungua zaidi, hebu mkomae na mambo ya Msingi.
Mwenyekiti Mbowe kawasababisha chungu ya Matatizo, ninyi mmekaa kimya mpo tu. Hangaikeni naye, acheni mambo ya Hayati Dr. JPM, Mwamba wa Mageuzi nchini Tanzania na Africa.
Hapo juu, mtoa mada anazungumzia vifaranga wa Kuku waliochomwa moto huko Namanga, enzi za mwanakwendazake! Sasa hili la Mbowe na vijana wake wanao mtetea mtandaoni, Kwanini usilianzishie mahali pake lijadiliwe?!Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.
Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!
Chadema wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.
Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la chadema ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu Jamii forum lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!
Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza Chadema ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.
Kutokana na Chadema kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!
Viongozi wa Chadema wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.
Tundu Lisu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa Chadema lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!
Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya Chadema wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!
Chadema wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama ,mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame(orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )?
Utajibiwa tatizo ni mwendazake!
Bavicha na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe, tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya Chadema ni Mbowe na Tundu Lisu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.
Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.
Kuporomoka kwa Ccm wataulizwa SAMIA na Dr Nchongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.
Kwa nini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli.
View attachment 1773769
ulichoma vifaraga jana, leo Wewe unaogelea kwenye ziwa la moto, milele!Muarifu hawezi tupangia adhabu ya kumpa, wale vifaranga walikuwa wanahatarisha maisha ya vifaranga wengi zaidi kama wangeingia mtaani wakiwa na maradhi, ile adhabu ni kali na fundisho hakuna atakae thubutu kuruka utaratibu maana adhabu ni kali na hasara tunakutia.
Tungeendelea kulea uhalifu, kwa taarifa yako Tulianza kuchoma vifaranga 6400, wakafikiri tunatania, wakaleta tena vifaranga 5000, tukachoma tena, adabu ikawapata wakaanza kufata utaratibu , ukicheka na Mbwa utaingia nae msikitiniHivi vifaranga wale kama wangerudishwa walikotoka mngepungukiwa na nini ?
Hizi ni porojo kama porojo nyingine , hivi ndivyo tunavyowashughulikia watu wanaoleta mchezo kwenye nchi za watuulichoma vifaraga jana, leo Wewe unaogelea kwenye ziwa la moto, milele!
kwa sauti ya NAPEUugwana ni vitendo, kitendo cha Serikali ya Magufuli kuchoma moto vifaranga kutoka Kenya lilikuwa jambo la kinyama lililobeba aibu ya kuifedhehesha serikali ya Tanzania kwa fedheha ya kutia aibu ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi.
Sitaki kurudia kusimulia unyama ule wa kishamba, ambao haukuwa na tija yoyote ile kwa Taifa, bali nimemuomba Mh Rais Samia Suluhu kufanya uungwana kwa kuiomba radhi serikali ya Watu wa Kenya kwa unyama ule wa kishamba uliofanyika kutokana na chuki zisizoeleweka hata chanzo chake, zilizopelekea vifaranga kutoka Kenya kuteketezwa kinyama.
Sheria haiko hivyo ingekuwa hivyo hata mwizi akiiba akikitwa na kitu alichooiiba alitakiwa apokonywe then wamuache ateembe zake but sheria haiko hivyo ukikosea unafungwaIlitakiwa virudishwe kwao tuu Kama vibali hakuna au alievileta ndio ahukumiwe sio vifaranga kuvichoma vile ni unyama na ukatili kwa viumbe wa kiwango cha juu mno hizi Nchi zinategemeana huwezi kumchukia jirani yako kiasi hicho.
Uko nje ya mada. Anzisha uzi unaomhusu Mhe. Mbowe tutakuelewa. Mleta uzi anazungumuzia fedheha inayotokana na kuchoma vifaranga na siyo CHADEMA na Mbowe.Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.
Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!
Chadema wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.
Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la chadema ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu Jamii forum lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!
Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza Chadema ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.
Kutokana na Chadema kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!
Viongozi wa Chadema wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.
Tundu Lisu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa Chadema lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!
Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya Chadema wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!
Chadema wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama ,mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame(orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )?
Utajibiwa tatizo ni mwendazake!
Bavicha na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe, tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya Chadema ni Mbowe na Tundu Lisu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.
Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.
Kuporomoka kwa Ccm wataulizwa SAMIA na Dr Nchongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.
Kwa nini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli.
View attachment 1773769
Nendeni kwenye sheria tushaanza kupeleka chakula huko ambacho mwanzoni kilikua kinatoka kwa ujanja ujanja...Sheria haiko hivyo ingekuwa hivyo hata mwizi akiiba akikitwa na kitu alichooiiba alitakiwa apokonywe then wamuache ateembe zake but sheria haiko hivyo ukikosea unafungwa
Labda useme “hivi ndivyo tulivyokuwa tunawashughulikia watu walioleta mchezo kwenye nchi za watu!” Kumbuka zama zimebadilika!Hizi ni porojo kama porojo nyingine , hivi ndivyo tunavyowashughulikia watu wanaoleta mchezo kwenye nchi za watu
Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa KenyaBora Mama kaona ulikua ujinga nimepata taarifa magari yaharuhusiwa kupita Kenya kupeleka mazao Sudani kusini Kama mwanzo ninyi wengine hamjui kitu chochote kinachoendelea mpo tuu hapo na mkiambiwa wanyonge mnafurahia.
Hakuomba radhi ?Ndo hivyo hotuba yake imeisha.
Hakuo
Atukuwa labda kaomba kinyemela , haiwezekani kumaliza hotuba bila kuomba radhi kwa unyama ule wa kishetaniNimesikiliza full hotuba sijasikia.
Labda nisikilize tena
Yaani serikali ya kenya wakosee halafu waombwe msamaha, wangethibiti hayo magendo ya vifaranga huko mipakani mwao vingefikaje bongo, ningekuelewa kama watetezi wa haki za wanyama ndo wangeombwa msamaha siyo hao manyang'au...Uugwana ni vitendo, kitendo cha Serikali ya Magufuli kuchoma moto vifaranga kutoka Kenya lilikuwa jambo la kinyama lililobeba aibu ya kuifedhehesha serikali ya Tanzania kwa fedheha ya kutia aibu ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi.