DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Hii ID inafahamika ktk siasa za kipinzani nchi hii, labda umejiunga Jf Jana..tuongee mengine tuache chuki na Siasa pembeniKama siyo Khamis mbona umeandika mwandiko wake?
Kwanini usiombe akuteue wewe?Pole kwa msiba mzito wa hayati baba yetu.
Naomba kudeclare interest..Mimi ni Tour Guide nipo Arusha.
Katika kikao Cha Bunge lililopita kwa Mara ya Kwanza nilimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii akijibu maswali hasa la Mbunge wa Arusha Mjini Mh Gambo ..nilishtuka Mh Ndumbaro hajui,narudia hajui chochote juu ya Wizara yake hasa masuala ya Utalii..hapa tumepugwa
Mimi sio muumini mzuri wa Siasa za Mbunge wa Nzega Mh Hamisi Kigwangalah Ila aliitendea haki Wizara hii,kufanya Online marketing,kufaham changamoto zake na aliweza kuhandle situation hasa mwaka Jana wakati wa Covid 19.
Mh Rais sikupangii Ila Wizara Bado inamhitaji huyu kijana aweze kuendelea kuutangaza Utalii,Kama Kuna eneo aliteleza akatemwa na Hayati Magufuli apewe awamu nyingine asimame na Sekta hii kwa maendeleo ya Utalii kipindi hiki dunia ikipitia katika changamoto ya kushuka kwa Soko la Utalii.
Nawasilisha.
Ni kweli ulikuwa ukiongea siasa za kipinzani kabla ya kuwa Waziri. Na siasa hizo ndo zilikuinua kama zilivuomwinua Bashe hadi kupata unaibu Waziri Kilimo. Kwani ni dhambi kukosoa ukiwa ndani ya CCM? Ni woga wenu tu.Hii ID inafahamika ktk Siasa za kipinzani nchi hii,labda umejiunga jf Jana..tuongee mengine tuache chuki na Siasa pembeni
Upumbavu mtupu.Mimi sio Hamisi Wala sizipendi Siasa zake, alinikera ishu ya Simba na Mo..hapa nimeandika kwa mistakabali wa wizara
Sisi ndio tupo field tunafaham kazi alizokiwa akifanya,acheni speculationMhh huyo mwizi ndio unataka arudi tena? Mtu wa kutumia ndege kwa issue zake binafsi za kubeba mademu na wasanii wa bongo fleva/movie na kuwalaza hotel za kifahari?