Rais Samia Suluhu, tunamuomba Kigwangalla tena Wizara ya utalii, anaweza

Wewe nawe pimbi!
Ina maana Tanzania ina Hamisi peke yake?
Ningekuona wa maana ungesema aliyepo hafai atafutwe mbadala na sio kuwarudisha watu wale wale na makandokando yao
 
huyu umbwa aliyemgeuka marehemu hata hajaoza vizuri hahaaaa ua joking aisee , amechanganyikiwa anaandika pumba tu kule twitter
 
Wewe ndio kati ya wale mliokuwa mnakula naye uroda kwenye mahoteli makubwa.Waziri wa sasa Mh Ndumbaro ni makini Sana.Dr uliyemtaja ni kigeugeu.Anatafuta cheo kupitia kwenu.Juzi tu kasema mashine ya kujifukiza Muhimbili ivunjwe,sio mtu makini.Isitoshe Mh Ndumbaro ni mtu asiyeterereka.Kwa bahati mbaya Dr K labda anawatumia nyie.Mwacheni Mh Ndumbaro achape Kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…