A alibaaliyo JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 623 Reaction score 576 Apr 22, 2021 #381 Hii siyo siasa huu ni UKWELI. Google mada tajwa hapo juu utaujua ukweli wenyewe na jinsi dunia imempigia saluti hayati JPM. Naona kuna wanaoleta kejeli ktk ushauri wangu wagoogle pia wasome mada tajwa hapo juu.
Hii siyo siasa huu ni UKWELI. Google mada tajwa hapo juu utaujua ukweli wenyewe na jinsi dunia imempigia saluti hayati JPM. Naona kuna wanaoleta kejeli ktk ushauri wangu wagoogle pia wasome mada tajwa hapo juu.
A alibaaliyo JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 623 Reaction score 576 Apr 22, 2021 #382 brazaj said: Unaona je mkuu badala ya hiyo tume wewe na wewe peke yako ndiyo ungekuwa mshauri pekee kwa mama na dunia kuhusiana na hili gonjwa?.. Click to expand... Umesoma mada ya Sonia Elijah niliyotaja ama unakimbilia kukejeli Mtanzania mwenye nia njema na mzalendo jwa nchi yake?.
brazaj said: Unaona je mkuu badala ya hiyo tume wewe na wewe peke yako ndiyo ungekuwa mshauri pekee kwa mama na dunia kuhusiana na hili gonjwa?.. Click to expand... Umesoma mada ya Sonia Elijah niliyotaja ama unakimbilia kukejeli Mtanzania mwenye nia njema na mzalendo jwa nchi yake?.