Rais Samia Suluhu umeanza kuwa Dikteta mapema kuliko hayati John Pombe Magufuli

Stupid and shallow analysis. Unalinganisha democracy ya USA na Tz?
 
Wanachohoji watu ni kuwa KATAZO ni kwa mujibu wa ibara gani ya katiba ?!.
 
Upo sahihi mkuu. Siasa zifanyike ndani kwenye ofisi au kumbi. Sio majukwaani au maandamano ya kujijenga kisiasa
 
Unachoshindwa faham nchi tokea 2015 inaendeshwa na mfumo...na mfumo hautak tena kelele..unataka kujenga nchi...kelele za matusi kama tuwajuavyo ngoz nyeus ukiwaruhusu wafanye wanayotaka nchi hii haitatawalika...kwahyo safi sana mama samia.tujenge nchi kwanza..nafurah anaanza pita mulemule kwa mwendazake...kuongoza nchi si lelemama ndiomana karud kwenye mstari.hahahahahha
 
Mikutano ya wapinzani tatizo huwa haina ajenda za maendeleo zaidi ya kutukana, kudhalilisha na kutiana hasira. Kwa sasa ajenda yao kuu eti JPM alikuwa dikteta nk. Hakuna jipya. Mama yuko sahihi hakuna maendeleo na uchumi imara bila utulivu. Hawa wanaajenda ya siri kumtoa mama kwenye mstari awe na msimamo tu angalau mwaka mmoja atulie kwenye kiti na uchumi unyanyuke ndipo mambo mengine yafuate kuna ubaya gani? Aruhusu mikutano ya ndani, kufungua matawi na uendeshaji wa siasa safi na za kiustaarabu kwa mujibu wa sheria za nchi.
 
Mbona sisi Ccm tunafanya mikutano kila siku? Fujo gani italetwa kwa vyama vya kisiasa kufanya mikutano yao!? Ccm tuache kuona hii nchi ni mali yetu peke yetu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAMZA SHUKRANI.📌
 
Nilimkubali sana, ila kwa kauli hii na mimi naunga mkono. Maana hata Mtangulizi wake alianza hivihivi kwa kujifanya anaupiga mwingi kwa kuvuta hisia za waoinzani na wasio wanasiasa baadaye akawageukia ghafla. Hata huyu naona ndiyo anapokwenda
CCM ni ile ile.
 
Huyu atakuwa kiongozi mbovu sn kuliko wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…