BestFundi
Senior Member
- Sep 9, 2020
- 156
- 192
Katiba inasemaje. Au imejifuta automatically naada ya smamia kutoa kauli hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba inasemaje. Au imejifuta automatically naada ya smamia kutoa kauli hiyo.
Wewe unaishi USA? Fool.Hiyo Katiba iangaliwe upya, Mikutano ya kisiasa ISIWEPO mpaka muda wa Uchaguzi utakapofika.
Nchi zenye Demokrasia tangu miaka 200 iliyopita wanafanya siasa za hadharani inapokaribia Uchaguzi husika.
Sisi Tanzania tunataka miaka mitano mfululizo kupanda Majukwaani kueneza Siasa za uongo, chuki na kutoridhika na matokeo.
Leo Baiden kashinda Urais USA hatujaona Trump na wenzake wapo barabarani wakiendeleza siasa na malumbano
Kauli ya Rais Samia kuminya uhuru wa Raia na vyama vyao vya siasa kwa kutozingatia katiba na sheria ameingia kwenye rekodi mpya kama Rais Mwanamke wa kwanza Africa kuwa Dikteta
Siku ya 101 madarakani, Rais Samia Suluhu tayari ameanza kulewa sifa na mapambio. Ameamua kuendelea kuminya uhuru wa vyama vya siasa kufanya mihadhara kwa kutumia utashi wake na siyo katiba iliyomfanya Yeye awe Rais bila kupigwa kura za wananchi
Hakuna uchumi bila haki na uhuru wa watu, Tangu tupate uhuru kwa miaka zaidi ya ishirini na nne ya chama kimoja hakuna Uchumi wowote uliosimama, Uchumi ulianza kusimama wakati wa vyama vingi vya kisiasa na huu ni wakati wa Hayati Ben Mkapa, Hayati Ben Mkapa alisimamia uhuru na kujenga mfumo wa kitaasisi
Mama Samia ameanza kuonyesha sura yake halisi ya udikiteta mapema sana, Atambue na akumbuke hakuna aliyempigia kura kwenye sanduku kama Rais wa nchi bali amepata Urais kwa kufuata katiba ya nchi, Wananchi wa Tanzania ni waelewa ndio maana Mama alipoapishwa kwa kufuata katiba hakuna aliyelalamika kwenye mitandao ya kijamii, Kuanza kuvunja katiba siku ya 101 kisa umesifiwa sana Jiandae kisaikolojia kwa watu kukusema kimataifa kama mtangulizi wako na kitakachofuatwa ni wewe kuhojiwa maswali Magumu na vyombo vya kimataifa ukajikuta unadhalilika na kutafuta mchawi nani
Chuki ambayo umejenga kwa kauli yako ya kusema hakuna vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara umeitoa kwa kutumia sheria na katiba ipi? Wewe uliapishwa kwa kufuata katiba kwanini umeanza kuharibu na kupindisha katiba ya nchi?
Kauli yako ya kuminya uhuru wa siasa imekuharibia kila kitu na sasa mjadala umeanza kuwa mkali zaidi, Jiandae Kwa watu kukusema hovyo na kukudhalilisha zaidi ya mtangulizi wako
Kila kauli ina madhara yake, Kauli yako ya kuwa unajenga Uchumi, Hayati Magufuli alisema analeta Maendeleo. Leo hakuna anayemkumbuka Magufuli na habari zake za Maendeleo bali anakumbukwa kwa kuminya na kukandamiza haki za Raia
Serikali iwape watu uhuru wao, Kuna tetesi zilizagaa kuwa hata wewe watu walitaka usipewe Urais kwani waliona hutaweza lakini kuna kundi likasimamia katiba na ukaapishwa kuwa Rais, Kwanini wewe unavunja katiba?
Hahaha kiongozi mzuri ni yule msikivu na asiyefanya mambo kwa kukurupuka. Mpeni mudaKauli ya Rais Samia kuminya uhuru wa Raia na vyama vyao vya siasa kwa kutozingatia katiba na sheria ameingia kwenye rekodi mpya kama Rais Mwanamke wa kwanza Africa kuwa Dikteta
Siku ya 101 madarakani, Rais Samia Suluhu tayari ameanza kulewa sifa na mapambio. Ameamua kuendelea kuminya uhuru wa vyama vya siasa kufanya mihadhara kwa kutumia utashi wake na siyo katiba iliyomfanya Yeye awe Rais bila kupigwa kura za wananchi
Hakuna uchumi bila haki na uhuru wa watu, Tangu tupate uhuru kwa miaka zaidi ya ishirini na nne ya chama kimoja hakuna Uchumi wowote uliosimama, Uchumi ulianza kusimama wakati wa vyama vingi vya kisiasa na huu ni wakati wa Hayati Ben Mkapa, Hayati Ben Mkapa alisimamia uhuru na kujenga mfumo wa kitaasisi
Mama Samia ameanza kuonyesha sura yake halisi ya udikiteta mapema sana, Atambue na akumbuke hakuna aliyempigia kura kwenye sanduku kama Rais wa nchi bali amepata Urais kwa kufuata katiba ya nchi, Wananchi wa Tanzania ni waelewa ndio maana Mama alipoapishwa kwa kufuata katiba hakuna aliyelalamika kwenye mitandao ya kijamii, Kuanza kuvunja katiba siku ya 101 kisa umesifiwa sana Jiandae kisaikolojia kwa watu kukusema kimataifa kama mtangulizi wako na kitakachofuatwa ni wewe kuhojiwa maswali Magumu na vyombo vya kimataifa ukajikuta unadhalilika na kutafuta mchawi nani
Chuki ambayo umejenga kwa kauli yako ya kusema hakuna vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara umeitoa kwa kutumia sheria na katiba ipi? Wewe uliapishwa kwa kufuata katiba kwanini umeanza kuharibu na kupindisha katiba ya nchi?
Kauli yako ya kuminya uhuru wa siasa imekuharibia kila kitu na sasa mjadala umeanza kuwa mkali zaidi, Jiandae Kwa watu kukusema hovyo na kukudhalilisha zaidi ya mtangulizi wako
Kila kauli ina madhara yake, Kauli yako ya kuwa unajenga Uchumi, Hayati Magufuli alisema analeta Maendeleo. Leo hakuna anayemkumbuka Magufuli na habari zake za Maendeleo bali anakumbukwa kwa kuminya na kukandamiza haki za Raia
Serikali iwape watu uhuru wao, Kuna tetesi zilizagaa kuwa hata wewe watu walitaka usipewe Urais kwani waliona hutaweza lakini kuna kundi likasimamia katiba na ukaapishwa kuwa Rais, Kwanini wewe unavunja katiba?
Kapotoka kwa kuvunja katiba aliyoapa kuilindaBado nina imani na mama! Pengine kapotoka kidogo lakini hajaharibu kabisa. Tumpe muda zaidi naye ni binadamu si mkamilifu. KUKOSEA KUPO!
Hii ni ya pili baada ya kushidwa kuwang'oa covid -19 buhgeni na hili la mikutanoWacha kudanganya, Trump kakusanya watu juzi kwa mikutano tu, na anaendelea na siasa wewe vp. Jamani nafikiri tujaribu kuheshimu na kufuata katiba zetu, hata kwa hii mbovu tuliyonayo.
Kesi ya kuvamia bunge la Marekani hujaisikia?Hiyo Katiba iangaliwe upya, Mikutano ya kisiasa ISIWEPO mpaka muda wa Uchaguzi utakapofika.
Nchi zenye Demokrasia tangu miaka 200 iliyopita wanafanya siasa za hadharani inapokaribia Uchaguzi husika.
Sisi Tanzania tunataka miaka mitano mfululizo kupanda Majukwaani kueneza Siasa za uongo, chuki na kutoridhika na matokeo.
Leo Baiden kashinda Urais USA hatujaona Trump na wenzake wapo barabarani wakiendeleza siasa na malumbano
Anazingua Sana demokrasia inazuia maendeleo gani? Ccm miaka yote hiyo wameleta maendeleo yapi?Bado nina imani na mama! Pengine kapotoka kidogo lakini hajaharibu kabisa. Tumpe muda zaidi naye ni binadamu si mkamilifu. KUKOSEA KUPO!
Aliyesema hata msipotuchagua tutaenda Ikulu ndo mwenye hofu???Tumpe muda mama bado mapema naamini nI mtu mwenye hofu ya Mungu.
Hahahaha haa..Kauli ya Rais Samia kuminya uhuru wa Raia na vyama vyao vya siasa kwa kutozingatia katiba na sheria ameingia kwenye rekodi mpya kama Rais Mwanamke wa kwanza Africa kuwa Dikteta
Mimi ni mwana CCM. Kinachomtokea leo Mama Samai tulimtahadharisha, akayudharau. Akafikiri ninyi mliokuwa mnamshabikia ndio wazuri. Leo sasa, ndio mmemjua vizuri na yeye anawajua vizuri. Binafsi nitaendelea kukitetea chama changu CCM na Serikali yake lakini sitamtetea Mama Samoa. Ajitetee mwenyewe!!!Kauli ya Rais Samia kuminya uhuru wa Raia na vyama vyao vya siasa kwa kutozingatia katiba na sheria ameingia kwenye rekodi mpya kama Rais Mwanamke wa kwanza Africa kuwa Dikteta
Siku ya 101 madarakani, Rais Samia Suluhu tayari ameanza kulewa sifa na mapambio. Ameamua kuendelea kuminya uhuru wa vyama vya siasa kufanya mihadhara kwa kutumia utashi wake na siyo katiba iliyomfanya Yeye awe Rais bila kupigwa kura za wananchi
Hakuna uchumi bila haki na uhuru wa watu, Tangu tupate uhuru kwa miaka zaidi ya ishirini na nne ya chama kimoja hakuna Uchumi wowote uliosimama, Uchumi ulianza kusimama wakati wa vyama vingi vya kisiasa na huu ni wakati wa Hayati Ben Mkapa, Hayati Ben Mkapa alisimamia uhuru na kujenga mfumo wa kitaasisi
Mama Samia ameanza kuonyesha sura yake halisi ya udikiteta mapema sana, Atambue na akumbuke hakuna aliyempigia kura kwenye sanduku kama Rais wa nchi bali amepata Urais kwa kufuata katiba ya nchi, Wananchi wa Tanzania ni waelewa ndio maana Mama alipoapishwa kwa kufuata katiba hakuna aliyelalamika kwenye mitandao ya kijamii, Kuanza kuvunja katiba siku ya 101 kisa umesifiwa sana Jiandae kisaikolojia kwa watu kukusema kimataifa kama mtangulizi wako na kitakachofuatwa ni wewe kuhojiwa maswali Magumu na vyombo vya kimataifa ukajikuta unadhalilika na kutafuta mchawi nani
Chuki ambayo umejenga kwa kauli yako ya kusema hakuna vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara umeitoa kwa kutumia sheria na katiba ipi? Wewe uliapishwa kwa kufuata katiba kwanini umeanza kuharibu na kupindisha katiba ya nchi?
Kauli yako ya kuminya uhuru wa siasa imekuharibia kila kitu na sasa mjadala umeanza kuwa mkali zaidi, Jiandae Kwa watu kukusema hovyo na kukudhalilisha zaidi ya mtangulizi wako
Kila kauli ina madhara yake, Kauli yako ya kuwa unajenga Uchumi, Hayati Magufuli alisema analeta Maendeleo. Leo hakuna anayemkumbuka Magufuli na habari zake za Maendeleo bali anakumbukwa kwa kuminya na kukandamiza haki za Raia
Serikali iwape watu uhuru wao, Kuna tetesi zilizagaa kuwa hata wewe watu walitaka usipewe Urais kwani waliona hutaweza lakini kuna kundi likasimamia katiba na ukaapishwa kuwa Rais, Kwanini wewe unavunja katiba?
Kwa mujibu wa sheria ipi?Upo sahihi mkuu. Siasa zifanyike ndani kwenye ofisi au kumbi. Sio majukwaani au maandamano ya kujijenga kisiasa
Ni KOSA la kimaadili kutokana watu. Mwambieni huyo mama atende HAKIPumbafu, pumbafu, pumbafu mara 3..
Pumbafu kabisa ww, pumbafuuu pumbaaaa kabisa ww, pumbafu
Katiba itoe tafsiri ya maana ya shughuli za kisiasa.Hiyo Katiba iangaliwe upya, Mikutano ya kisiasa ISIWEPO mpaka muda wa Uchaguzi utakapofika.