Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #21
Inahusika vipi?Mlio karibu na mama mkumbusheni bado tunakumbuka ile ahadi aliyotuahidi ya milioni 150 kwa kila kijiji.
JESUS IS LORD.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inahusika vipi?Mlio karibu na mama mkumbusheni bado tunakumbuka ile ahadi aliyotuahidi ya milioni 150 kwa kila kijiji.
JESUS IS LORD.
Automatically Mama anaenda kuwa TV huku remote ikiwa Msoga. Kundi la kina JK ndiyo mtu wao huyu, nina uhakika tunarudi kwenye enzi za Vasco Dagama kwa namna mpya kabisa.
Ndiyo na ndiyo maana kasema tuweke tofauti kando it means yupo kwa ajili ya kuchukua hatua kwa makosa yalifanyika nyuma siyo lazima aseme kila kituKumbuka kuna chuki kubwa.
Kimsingi huwa simwamini fisiemu yeyote awaye!! Wengi wanaishi kwa maslahi yao kama si kufuata mdundo ama uelekeo wa upepo.Hakuna mwenye afadhali hapo kati ya hao!! Nchi hii ina watu wenye uwezo mkubwa sana wa kuweza kumsaidia mama Samia kazi yake kuwa rahisi ,mmoja wao ni huyo waziri wa usafirishaji. Dr. Chamliho:
Huyu kwanza hana makundi, mtendaji mahiri na msomi pia, muadilifu na sio ambitious kwamba anaweza kumyumbisha boss wake!! NCHIMBI ni nyoka ambae anaweza kumyumbisha mama Samia kwa malengo yake na genge lake ya kisiasa ya muda mfupi na mrefu pia.
Lukuvi hafai kwasababu hana upeo na ni mnafiki sana.