Hakuna mwenye afadhali hapo kati ya hao!! Nchi hii ina watu wenye uwezo mkubwa sana wa kuweza kumsaidia mama Samia kazi yake kuwa rahisi ,mmoja wao ni huyo waziri wa usafirishaji. Dr. Chamliho:
Huyu kwanza hana makundi, mtendaji mahiri na msomi pia, muadilifu na sio ambitious kwamba anaweza kumyumbisha boss wake!! NCHIMBI ni nyoka ambae anaweza kumyumbisha mama Samia kwa malengo yake na genge lake ya kisiasa ya muda mfupi na mrefu pia.
Lukuvi hafai kwasababu hana upeo na ni mnafiki sana.