Rais Samia:Tamasha La Kizimkazi Litambulike Rasmi.

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Screenshot_20240825-132612_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3078807

Nilikua nataka ni comment positvely ila nilivo ona jina la mwenye Mada Lucas mwashamba. ni kagaili ili nisionekane kufanana nae chawa mkubwa huyu.
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3078807

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi,Luca unajionaga kama unahutubia taifa?🤣🤣🤣🤣🙏
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3078807

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawakutaka kutumia nafasi zao kukukuza kwao kiwango tunachokiona wakati wa Magufuli na Samia
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3078807

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Asanti Mh. Rais na kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu hassan,
Serilikali sikivu ya mapinduzi ya Zanzibar imesikia na bilashaka inakwebda kutekeleza kikamilifu jukumu hilo muhimu sana kwa kushirikina na JMT kwa maslahi mapana ya wananchi wote :KasugaYeah:
 
Back
Top Bottom