Rais Samia:Tamasha La Kizimkazi Litambulike Rasmi.

Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3078807

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jiwe kwenda likizo Chato nabkujenga uwanja wa ndege ilikuwa nogwa kweli lakini kizmkazi kila mtu mi kukenua meno.Unafiki kweli hautaisha
 
Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3078807

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Muda si mrefu kizimkazi kuwa MKOA WA KI UTALII wenye vivutio vingi zaidi Tanzania😛😛😛😛
 
Katika taifa hili Western corridor imesahulika kabisa katika utalii nadhani jitihada kama hizi zingefanyika Western zone kungekua na tija kubwa kwa taifa zima.
 
Back
Top Bottom