Rais Samia:Tamasha La Kizimkazi Litambulike Rasmi.

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Nilikua nataka ni comment positvely ila nilivo ona jina la mwenye Mada Lucas mwashamba. ni kagaili ili nisionekane kufanana nae chawa mkubwa huyu.
 
Hivi,Luca unajionaga kama unahutubia taifa?🤣🤣🤣🤣🙏
 
Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawakutaka kutumia nafasi zao kukukuza kwao kiwango tunachokiona wakati wa Magufuli na Samia
 
Asanti Mh. Rais na kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu hassan,
Serilikali sikivu ya mapinduzi ya Zanzibar imesikia na bilashaka inakwebda kutekeleza kikamilifu jukumu hilo muhimu sana kwa kushirikina na JMT kwa maslahi mapana ya wananchi wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…