Rais Samia:Tamasha La Kizimkazi Litambulike Rasmi.

Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawakutaka kutumia nafasi zao kukukuza kwao kiwango tunachokiona wakati wa Magufuli na Samia
Nyerere alikua mcommunist/roho mbaya kanda ya ziwa ingekua na vyuo vikuu vya ummah, ila hakutska wasomi kushindana nae, ndo maana alichukia sanaa wahaya.
 
Vua chupi akuweke nyuma chapu. Jinga wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Samia ni raisi wa Tanzania, kwahiyo hilo tamasha lake litambulike na serikali yake ya Tanzania, assibebeshe serikali ya Zanzibar mzigo wake
 
Samia ni raisi wa Tanzania, kwahiyo hilo tamasha lake litambulike na serikali yake ya Tanzania, assibebeshe serikali ya Zanzibar mzigo wake
Embu kaa kwa kutulia hapa na siyo kuweweseka Utafikiri unazijua gharama zake au umewahi kuchangia.
 
nimeshangaa kusikia kizimkazi Kuna mpaka Simba!! Ni vyema likaanzishwa uwanja wa ndege na pori la akiba kizimkazi.
Itumike blueprint ile ile ya hayati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…