Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Mama kama mama....Magu alipoingia ofisini siku 50 za mwanzo tulikuwa tumeshapata picha ya nini anataka. Mama bado anasubiri zifike 100.
Huwa ni ninawaza kama ingeezekana kuwarudisha Wajerumani kwa miaka 10. Wapate sehemu ya kodi lakini wasimamie serikali. Gavana na mawaziri wawe wao. Kurudisha tu utawala wa sheria.
Mzima ni babako kutoka kwenu koromitjeWe umepewa nini ? wenzako wanapeana magari sasa wewe mzaramo sijui mgogo una ushabikia wapemba, wewe kweli mzima?
Sukuma gang this time lazima mjinyongeWe umepewa nini ? wenzako wanapeana magari sasa wewe mzaramo sijui mgogo una ushabikia wapemba, wewe kweli mzima?
Hii nyuzi kaandika mtu mwenye IQ ndogo saanaNchi ya Tanzania ina watu takribani milioni 60, kila mtu ana vipaumbele vyake, hivyo huwezi kumridhisha kila mtu mama.
Asilimia 90 ya watanzania ni maskini: hawahitaji magari ya benzi wala nyumba za kishi baada ya kustaafu kushika chaki na kazi zingine za umma.
Wanahitaji maji safi na salama, huduma bora za afya, elimu bora na huduma zingine za kijamii.
Ukitaka kuwafurahisha baadhi ya watu kwenye asilimia 15 iliyobakia utapotea! Utabaki kukumbukwa kwa kuharibu nchi na hatma yake utakutana na mkono wa Allah aliyekupa nafsi hiyo.
Mama Samia, hutapendwa kwa kwenda kinyume na mtangulizi wako kwenye mambo yenye maslahi ya nchi. Mwenzako kamaliza zamu yake. Nadhani umeshuhudia namna umma wa watanzania ulivyompokea licha ya madhaifu yake kama binadamu.
Kikubwa timiza wajibu wako ukiingozwa na katiba na uzalendo wa hali ya juu.
Tumia nguvu uliyopewa, usipende kufanyiwa maamuzi na watu. Wengine baadhi ya washirika wako sio wema.
Wapinzani ni wapinzani tu, lengo lao kuchukua nchi hivyo kuwa nao makini.
Usiingie mkenge kwa kivuli cha kujenga umoja wa kitaifa. Nchi hii ni moja na hakuna mpasuko wowote labda mitandaoni ila uraiani tupo wamoja sana. Na hayati JPM ametupa nguvu sana kiasi kwamba tunajua kipi kizuri na kipi kibaya.
Mwisho nakutakia kila la kheri.
Happy Mothers' Day!
Huyo Jpm mfate Chato ukakae nae, tuachie Mama yetu tusonge mbele.Nchi ya Tanzania ina watu takribani milioni 60, kila mtu ana vipaumbele vyake, hivyo huwezi kumridhisha kila mtu mama.
Asilimia 90 ya watanzania ni maskini: hawahitaji magari ya benzi wala nyumba za kishi baada ya kustaafu kushika chaki na kazi zingine za umma.
Wanahitaji maji safi na salama, huduma bora za afya, elimu bora na huduma zingine za kijamii.
Ukitaka kuwafurahisha baadhi ya watu kwenye asilimia 15 iliyobakia utapotea! Utabaki kukumbukwa kwa kuharibu nchi na hatma yake utakutana na mkono wa Allah aliyekupa nafsi hiyo.
Mama Samia, hutapendwa kwa kwenda kinyume na mtangulizi wako kwenye mambo yenye maslahi ya nchi. Mwenzako kamaliza zamu yake. Nadhani umeshuhudia namna umma wa watanzania ulivyompokea licha ya madhaifu yake kama binadamu.
Kikubwa timiza wajibu wako ukiingozwa na katiba na uzalendo wa hali ya juu.
Tumia nguvu uliyopewa, usipende kufanyiwa maamuzi na watu. Wengine baadhi ya washirika wako sio wema.
Wapinzani ni wapinzani tu, lengo lao kuchukua nchi hivyo kuwa nao makini.
Usiingie mkenge kwa kivuli cha kujenga umoja wa kitaifa. Nchi hii ni moja na hakuna mpasuko wowote labda mitandaoni ila uraiani tupo wamoja sana. Na hayati JPM ametupa nguvu sana kiasi kwamba tunajua kipi kizuri na kipi kibaya.
Mwisho nakutakia kila la kheri.
Happy Mothers' Day!
Kumbe na wewe unampenda mwenyekiti wa CCM??Huyo Jpm mfate Chato ukakae nae, tuachie Mama yetu tusonge mbele.
Ndio kitu cha maana alicho andika hiyo mingine ni migebuka Tu kama sio madegele"Kikubwa timiza wajibu wako ukiingozwa na katiba na uzalendo wa hali ya juu." Mwisho wa kunukuu.
Tena amevilia mpaka matrakonWewe ni uvccm usiye na uteuzi hadi sasa!
Naunga mkono hoja...Tuendelee kumuombea Mhe. Rais Mungu ampe nguvu. Anna kazi kubwa. Mashinikixo kwake ni mengi. Kuongeza nchi siyo mchezo...Nchi ya Tanzania ina watu takribani milioni 60, kila mtu ana vipaumbele vyake, hivyo huwezi kumridhisha kila mtu mama.
Asilimia 90 ya watanzania ni maskini: hawahitaji magari ya benzi wala nyumba za kishi baada ya kustaafu kushika chaki na kazi zingine za umma.
Wanahitaji maji safi na salama, huduma bora za afya, elimu bora na huduma zingine za kijamii.
Ukitaka kuwafurahisha baadhi ya watu kwenye asilimia 15 iliyobakia utapotea! Utabaki kukumbukwa kwa kuharibu nchi na hatma yake utakutana na mkono wa Allah aliyekupa nafsi hiyo.
Mama Samia, hutapendwa kwa kwenda kinyume na mtangulizi wako kwenye mambo yenye maslahi ya nchi. Mwenzako kamaliza zamu yake. Nadhani umeshuhudia namna umma wa watanzania ulivyompokea licha ya madhaifu yake kama binadamu.
Kikubwa timiza wajibu wako ukiingozwa na katiba na uzalendo wa hali ya juu.
Tumia nguvu uliyopewa, usipende kufanyiwa maamuzi na watu. Wengine baadhi ya washirika wako sio wema.
Wapinzani ni wapinzani tu, lengo lao kuchukua nchi hivyo kuwa nao makini.
Usiingie mkenge kwa kivuli cha kujenga umoja wa kitaifa. Nchi hii ni moja na hakuna mpasuko wowote labda mitandaoni ila uraiani tupo wamoja sana. Na hayati JPM ametupa nguvu sana kiasi kwamba tunajua kipi kizuri na kipi kibaya.
Mwisho nakutakia kila la kheri.
Happy Mothers' Day!
Wewe mwenyewe ndiyo unajidharau. Miaka mitano uchumi ulikuwa na kuvuka kwenda kundi la uchumi wa kati. Hii ni kwa kutumia taarifa za vyombo hivyo hivyo unasema vinatudharau. Kama ilidharaulika wasingekusifu. Ukweli ni kuwa Kenya inaelewa lugha moja "tit for tat". Sasa hivi raisi Kenyatta ameizuga TZ kuwa Watanzania sasa hawatahitaji vibali vya kazi kule KE. Hapo ameishamtega rais SSH. Kinachongojewa ni yeye kutamka Wakenya kuingia na kupata kazi bila vibali. Tukiisha ingia mtego huo, ujuwe bao limefungwa. Ukijaribu kubadili ndiyo kufungiana. Haya mambo hayahitaji maamuzi yam kihemuko. Mama rais SSH inabidi awe na uchambuzi mkubwa kabla ya kutoa matamko ya kisiasa hasa pale hayo matamko yanahusu nchi na nchi. Nafikri huyo anayeitwa gwiji wa mambo ya nje, ni kazi yake kumshauri mama SSH kuhusu athari za matamko ya kisiasa, hasa yale matamko yanayohusu policy kinzani!Nchi ilidharaulika vibaya sana.
Mashairi na bata kama hiviNchi ya Tanzania ina watu takribani milioni 60, kila mtu ana vipaumbele vyake, hivyo huwezi kumridhisha kila mtu mama.
Asilimia 90 ya watanzania ni maskini: hawahitaji magari ya benzi wala nyumba za kishi baada ya kustaafu kushika chaki na kazi zingine za umma.
Wanahitaji maji safi na salama, huduma bora za afya, elimu bora na huduma zingine za kijamii.
Ukitaka kuwafurahisha baadhi ya watu kwenye asilimia 15 iliyobakia utapotea! Utabaki kukumbukwa kwa kuharibu nchi na hatma yake utakutana na mkono wa Allah aliyekupa nafsi hiyo.
Mama Samia, hutapendwa kwa kwenda kinyume na mtangulizi wako kwenye mambo yenye maslahi ya nchi. Mwenzako kamaliza zamu yake. Nadhani umeshuhudia namna umma wa watanzania ulivyompokea licha ya madhaifu yake kama binadamu.
Kikubwa timiza wajibu wako ukiingozwa na katiba na uzalendo wa hali ya juu.
Tumia nguvu uliyopewa, usipende kufanyiwa maamuzi na watu. Wengine baadhi ya washirika wako sio wema.
Wapinzani ni wapinzani tu, lengo lao kuchukua nchi hivyo kuwa nao makini.
Usiingie mkenge kwa kivuli cha kujenga umoja wa kitaifa. Nchi hii ni moja na hakuna mpasuko wowote labda mitandaoni ila uraiani tupo wamoja sana. Na hayati JPM ametupa nguvu sana kiasi kwamba tunajua kipi kizuri na kipi kibaya.
Mwisho nakutakia kila la kheri.
Happy Mothers' Day!
Hao wanaomshangilia mama wajuwe kuwa mama siyo muamuzi wa kila kitu. Mama anaongozwa na ilani ya CCM. Ilani kuu kwa chama chochote cha siasa siyo kujizika kisiasa. Chama chochote kinafuta kuongoza dola. CCM watakapoona kuwa huyu hafagilii inerest za CCM watamsukuma na kumuangusha chini basi. Usidhani CCM ina mpango wa kuachia uongozi, wakimuona anawaharibia watamuondoa tu! Mmesahau yaliyompata Jumbe? Au katibu mkuu wa CUF na baadaye kile chama cha mfukoni cha Zitto. Hawa wazito wawili walipojaribu kutofauta chama chao (CCM) walitupwa chini ya bus. mama SSH asipokuwa mwangalifu, atajikuta huko. Asijelia Oh kwa sababu mimi mwanamke au OH mimi Mzanzibari!Mbona inajulikana anachotaka ^pleaser of all groups, implementer of none^
Nimesoma hayo huko juu nimeyaelewa, ila hapa kuhusu "umoja" umenitoa kimasomaso.Usiingie mkenge kwa kivuli cha kujenga umoja wa kitaifa. Nchi hii ni moja na hakuna mpasuko wowote labda mitandaoni ila uraiani tupo wamoja sana. Na hayati JPM ametupa nguvu sana kiasi kwamba tunajua kipi kizuri na kipi kibaya.
Nimesoma hayo huko juu nimeyaelewa, ila hapa kuhusu "umoja" umenitoa kimasomaso.
Una maana CCM waendelee kuwaona na kuwafanya wapinzani wao kama raia duni? Mama aendeleze mikwara ya kuvuruga haki za watu na kuwanyima uhuru wao.
Hawa wanaoimba ukabila, ukabila kila mahala bado wewe unadhani wanatania?
Watu tulikuwa tumefikia hatua nzuri sana ya kutotaka hata kujua kabila la mtu kwa jambo lolote, leo hii Wenje akagombee ubunge Mwanza, unadhani hata kujaribu tu atajaribu?
Haya mambo ya msingi kabisa ndani ya nchi yetu aliyoyajenga kwa tahadhari kubwa Mwalimu, sasa mnayachukulia kama ni utani?
Kabla ya mengine yooote, mama anao wajibu mkubwa wa kuponya yote yaliyotokea wakati wa Magufuli. Ni wajibu wake aonyeshe kwa vitendo kwamba nchi hii ni ya watu wanaoheshimiana siyo katika siasa pekee, bali katika jamii nzima.
Nimesikitika sana kwako kuliona hili kuwa jambo la utani, huku ukijua watu walivyoumia katika miaka sita iliyopita.
Mama mwenyewe naye tayari alikuwa anaimba nyimbo za kugawanya watu, sasa ni wakati wake kuonyesha kwa vitendo kwamba yeye yuko tofauti na huyo aliyekuwa akitafuta kumfurahisha.
unazinguaNchi ya Tanzania ina watu takribani milioni 60, kila mtu ana vipaumbele vyake, hivyo huwezi kumridhisha kila mtu mama.
Asilimia 90 ya watanzania ni maskini: hawahitaji magari ya benzi wala nyumba za kishi baada ya kustaafu kushika chaki na kazi zingine za umma.
Wanahitaji maji safi na salama, huduma bora za afya, elimu bora na huduma zingine za kijamii.
Ukitaka kuwafurahisha baadhi ya watu kwenye asilimia 15 iliyobakia utapotea! Utabaki kukumbukwa kwa kuharibu nchi na hatma yake utakutana na mkono wa Allah aliyekupa nafsi hiyo.
Mama Samia, hutapendwa kwa kwenda kinyume na mtangulizi wako kwenye mambo yenye maslahi ya nchi. Mwenzako kamaliza zamu yake. Nadhani umeshuhudia namna umma wa watanzania ulivyompokea licha ya madhaifu yake kama binadamu.
Kikubwa timiza wajibu wako ukiingozwa na katiba na uzalendo wa hali ya juu.
Tumia nguvu uliyopewa, usipende kufanyiwa maamuzi na watu. Wengine baadhi ya washirika wako sio wema.
Wapinzani ni wapinzani tu, lengo lao kuchukua nchi hivyo kuwa nao makini.
Usiingie mkenge kwa kivuli cha kujenga umoja wa kitaifa. Nchi hii ni moja na hakuna mpasuko wowote labda mitandaoni ila uraiani tupo wamoja sana. Na hayati JPM ametupa nguvu sana kiasi kwamba tunajua kipi kizuri na kipi kibaya.
Mwisho nakutakia kila la kheri.
Happy Mothers' Day!
magufuli alitoa wahuni akaweka majambazi kabisa.One who respects power does not fear it. Before Magufuli, nchi ilikuwa imekaa kama genge la wahuni wachache. Don't forget that. JPM kabadili upepo wa mazoea mabovu. Heshima na nidhamu ya kazi. Miradi ya maendeleo. Utu wa Mtanzania. Kujitegemea na kutotegemea misaada ya mataifa mengine. Rasilimali za nchi kwa ajili ya taifa. Vita dhidi ya rushwa na ubadhirifu wa mali za umma. ^Mahali tulipofika kama nchi, tunamhitaji kiongozi madhubuti kama JPM^ ~ ilisikika sauti kutoka upinzani.
Naona unataja baadhi ya mengi niliyofurahia kayafanya, hata kama aliyafanya kwa njia za hovyo. Napenda uelewe hivyo, na pengine kama ungefuatilia ninayoandika hapa JF baada ya Magufuli kuondoka na mama kuingia utaona ni kama nilikuwa mfuasi wake mkubwa.One who respects power does not fear it. Before Magufuli, nchi ilikuwa imekaa kama genge la wahuni wachache. Don't forget that. JPM kabadili upepo wa mazoea mabovu. Heshima na nidhamu ya kazi. Miradi ya maendeleo. Utu wa Mtanzania. Kujitegemea na kutotegemea misaada ya mataifa mengine. Rasilimali za nchi kwa ajili ya taifa. Vita dhidi ya rushwa na ubadhirifu wa mali za umma. ^Mahali tulipofika kama nchi, tunamhitaji kiongozi madhubuti kama JPM^ ~ ilisikika sauti kutoka upinzani.