Wewe kama sukuma gang huwezi kujua lolote maaana mlifungwa macho na mkakabidhi akili zenu kwa jiweWewe mwenyewe ndiyo unajidharau. Miaka mitano uchumi ulikuwa na kuvuka kwenda kundi la uchumi wa kati. Hii ni kwa kutumia taarifa za vyombo hivyo hivyo unasema vinatudharau. Kama ilidharaulika wasingekusifu. Ukweli ni kuwa Kenya inaelewa lugha moja "tit for tat". Sasa hivi raisi Kenyatta ameizuga TZ kuwa Watanzania sasa hawatahitaji vibali vya kazi kule KE. Hapo ameishamtega rais SSH. Kinachongojewa ni yeye kutamka Wakenya kuingia na kupata kazi bila vibali. Tukiisha ingia mtego huo, ujuwe bao limefungwa. Ukijaribu kubadili ndiyo kufungiana. Haya mambo hayahitaji maamuzi yam kihemuko. Mama rais SSH inabidi awe na uchambuzi mkubwa kabla ya kutoa matamko ya kisiasa hasa pale hayo matamko yanahusu nchi na nchi. Nafikri huyo anayeitwa gwiji wa mambo ya nje, ni kazi yake kumshauri mama SSH kuhusu athari za matamko ya kisiasa, hasa yale matamko yanayohusu policy kinzani!
Huo uzalendo unaupima kwa kipimo kipi?Rais ametumia akili kumpa Mpango umakamu, atamsaidia sana akiwa ni mtu anayeijua serikali na anaijua bara vyema.
Pia asije kushawishika kumtosa Majaliwa hata iweje. Jamaa ni mchapa kazi na mzalendo.
Naona wajane mmeanza kupaza sautiUna akili kubwa Sana wewe, huyu mama tunakwenda naye akianza kupuyanga tu tutamchana live mchana kweupe.Afanye ziara mikoani ajionee live matatizo ya wananchi siyo kukaa tu ofisini na kufanya ziara za nje ya nchi.
Uzalendo hauondoki na mtu, ni sifa ya nafsi.Huo uzalendo unaupima kwa kipimo kipi?
Hayo mambo ya uzalendo kaondoka nayo jiwe.
Hakika na hayo hayo manyang'au ndiyo yanayo mkosoa kila analofanya.Mkuu mama anaenda taratibu ,manyangau yalikuwa yamejipanga mnooo
Tatizo lako unachamganya ukada wa ccm na mambo ya msingi ukiwa hapo kwenu Ngara.Uzalendo hauondoki na mtu, ni sifa ya nafsi.