6 April 2021
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaunda kamati ya kufuatilia gonjwa la Covid-19 na kushirikiana na jumuiya ya kimataifa kuhakikisha chanjo bora na salama inapatikana.
Pia akaongeza Tanzania itaanza kutoa takwimu za walioambukizwa na waliopona Covid -19. Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema haikubaliki Tanzania kukosa takwimu za afya ya jamii hususan za Covid-19 ili hali Tanzania ni sehemu ya jumuiya pana ya ulimwengu halafu bango la takwimu kidunia Tanzania inaonekana alama deshi deshi yaani hakuna takwimu.
Naye mkurugenzi wa kituo cha Kupambana na Magonjwa cha Umoja wa Afrika amekaribisha kwa mikono miwili hatua hiyo mpya ya Tanzania chini ya utawala wa awamu ya sita kukubali kushirikiana na Jumuiya za kikanda na kimataifa kupambana na gonjwa hilo la Corona.
Source : Kenya CitizenTV
.................................................................
6 April 2021
Dar-es-Salaam, Tanzania
Tanzania to join forces with international community to combat Covid-19
Video ITV Tanzania
This was announced today by the new Tanzanian President H.E Samia Suluhu Hassan. The president said it is unacceptable for the country to self isolate itself from joining the international community efforts to stop and eradicate the threat of corona virus pandemic.
A task force of experts drawing representative from the public health service and government departments will soon be established to accomplish Tanzania new drive against the threat of Covid-19.
This new move by the Tanzania government has been welcomed by the Director of Africa CDC, Dr John Nkengasong, saying the African Union in particular and National Public Health Institutes from African Union Member States would welcome this new development from Tanzania.