pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Sasa mbona hali ilikuwa shwari,kaingia kila kitu kinaenda mrama,ni lini hali itakuwa sawa,wewe na Makamba ni wachawi tuNi wivu tu, hamna lolote.
Huyo Makamba hiyo nafasi ana muda gani tangu ateuliwe. Yani muda huo mfupi ndio atatue matatizo tuliyojitengenezea miaka kibao?
Ngoja, si kila mkakati wao utafanikiwa ,mungu hadhihakiwiUtakunywa sana spar letta bar! Makamba ni kama reincarnation ya Makonda wa enzi za Magufuli. Yuko kimkakati pale hata aharibu vipi hutoskia katolewa[emoji28]
Wapewe muda hali inazidi kudoda?[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Kuna nyakati wizara mbili zilisumbua sana lakini taratibu na baada ya muda hali ilikaa sawa.
Nazisemea Maliasili na Ardhi.
Tuwape muda wahusika.
Hazina ya ukoo wenuRais wa Tanzania ni Mh. Samia Suluhu Hassan kwa sasa. Waziri wa Nishati ni Mh. January Yusuph Makamba. Jina jingine mwite akili kubwa kabisa na hazina katika nchi yetu.
Hii Ndiyo Serikali Sasa
Tuliza mzuka dada yangu. Mambo mazuri hayahitaji kukurupukaSasa mbona hali ilikuwa shwari,kaingia kila kitu kinaenda mrama,ni lini hali itakuwa sawa,wewe na Makamba ni wachawi tu
Ok gayTuliza mzuka dada yangu. Mambo mazuri hayahitaji kukurupuka
Sawa kabisa mimi ni guy. Ulishaacha shoga?Ok guy
Muda gani apewe ikiwa shida ya umeme haitibiki na ana miaka miwili sasa?Ni wivu tu, hamna lolote.
Huyo Makamba hiyo nafasi ana muda gani tangu ateuliwe. Yani muda huo mfupi ndio atatue matatizo tuliyojitengenezea miaka kibao?
Iko siku yao hawa watuHuyo ni mtoto pendwa
Kalemani alitolewa ili wizi ufanyike tena mkubwa sana unaoendeleaHebu Kalemani arudi tuone!
Sukuma gang wacheni kulialia nendeni burigiKalemani alitolewa ili wizi ufanyike tena mkubwa sana unaoendelea
Wizara imemshinda kaondoka kwa aibu sana,kaenda kufichwa mambo ya njeSukuma gang wacheni kulialia nendeni burigi
Kalemani alitolewa ili wizi ufanyike tena mkubwa sana unaoendeleaSasa mbona hali ilikuwa shwari,kaingia kila kitu kinaenda mrama,ni lini hali itakuwa sawa,wewe na Makamba ni wachawi tu
Wivu?Ni wivu tu, hamna lolote.
Huyo Makamba hiyo nafasi ana muda gani tangu ateuliwe. Yani muda huo mfupi ndio atatue matatizo tuliyojitengenezea miaka kibao?