Rais Samia: Tuko Uchumi wa Kati tumepanda daraja na misaada kutoka kwa Wafadhili inapungua sana

Rais Samia: Tuko Uchumi wa Kati tumepanda daraja na misaada kutoka kwa Wafadhili inapungua sana

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Samia amesema kuingia kwetu katika uchumi wa kati ni kupanda daraja na wafadhili wanapunguza sana misaada kwa sababu sasa tunastahili kujitegemea kwa kiasi kikubwa.

Rais Samia amesema hayo katika sherehe za miaka 50 ya hospitali ya Bugando na kuwataka watanzania wafanye kazi kwa bidii.

Chanzo: Channel ten
 
Uchumi wa kati wa makaratasi, nchi inaingiaje uchumi wa kati wakati haina hata umeme wa uhakika, mvua ikipungua kidogo mnarudi kulekule.

Sisi ni maskini tunaomba waturudishe where we belong ili tuendelee kupata hiyo misaada kutoka kwa watu weupe.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ku-maintain nchi kwenye uchumi wa kati na kuipeleka juu kunahitajidetermination na political will, siyo masiasa yenu ya hovyo hovyo. Mara mmeingia na mabegi meusi kwenye chumba cha kura na mataka taka mengine kama hayo.

Pia kunahitaji maswala ya kitaalamu kutoingiliwa kisiasa na hizo siasa zenyewe zinazoingilia utaalamu zimejaa majitaka. Haya kaombeni haraka tushushwe ligi, maana hamkujiandaa.​
 
Ku maintain nchi kwenye uchumi wa kati na kuipeleka juu kunahitaji determination na political will, siyo masiasa yenu ya hovyo hovyo.....mara mmeingia na mabegi meusi kwenye chumba cha kura na mataka taka mengine kama hayo.......pia kunahitaji maswala ya kitaalamu kutoingiliwa kisiasa na hizo siasa zenyewe zinazoingilia utaalamu zimejaa majitaka. Haya kaombeni haraka tushushwe ligi, maana hamkujiandaa.........​
Good
 
Mama ana nia njema lakini hao wasaidizi wake wakina BLandina who are untested, watamuingiza choo cha kiume asipokuwa careful!! Please always seek a second opinion from outside your immediate circle before yo make a major economic decision!
 
Kwa hiyo ndio tuseme Sh imeikaribia $ ama
Hiyo misaada unapopewa huwa tunajua?
Au huwa mnapunguza sana
 
Uchumi wa kati wa makaratasi, nchi inaingiaje uchumi wa kati wakati haina hata umeme wa uhakika, mvua ikipungua kidogo mnarudi kulekule.

Sisi ni maskini tunaomba waturudishe where we belong ili tuendelee kupata hiyo misaada kutoka kwa watu weupe.

Basi tushuke daraja twende ligi za mchangani tuendelee kufadhiliwa au sio? 🤣

Tupambane turudi uchumi wa kati
Amefuata ushauri wenu na sasa tumeshushwa.

Je, tutapata faida gani kuendelea kuwa masikini?
 
Mliokuwa mnaipinga kijingajinga, mjue sasa mama ndio amesababisha tumeshushwa. Mpaka JPM anatuachia nchi tulikuwa Uchumi wa Kati licha ya COVID-19; what went wrong in just a year?
 
Tuchape Kazi Ndugu Zangu​

Bwana Bure Hayupo, Kama Mnavyojua Mabeberu Hayatupendi
Natalie Tanzania Iwe Donor Country
 
Mliokuwa mnaipinga kijingajinga, mjue sasa mama ndio amesababisha tumeshushwa. Mpaka JPM anatuachia nchi tulikuwa Uchumi wa Kati licha ya COVID-19; what went wrong in just a year?
Nchi ilipata pigo kuondoka kwa Magufuli. Hilo ni zengwe tu maana kuna watu wanatajirika kupitia umaskini wa watu (uwe ni umaskini halisi au wa kufikirika)
 
Back
Top Bottom