johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
GoodKu maintain nchi kwenye uchumi wa kati na kuipeleka juu kunahitaji determination na political will, siyo masiasa yenu ya hovyo hovyo.....mara mmeingia na mabegi meusi kwenye chumba cha kura na mataka taka mengine kama hayo.......pia kunahitaji maswala ya kitaalamu kutoingiliwa kisiasa na hizo siasa zenyewe zinazoingilia utaalamu zimejaa majitaka. Haya kaombeni haraka tushushwe ligi, maana hamkujiandaa.........
YapBasi tushuke daraja twende ligi za mchangani tuendelee kufadhiliwa au sio ? 🤣
Hatimaye tumeshushwa...sasa misaada iendelee, au nasema uongo ndugu zangu ?🐒Basi tushuke daraja twende ligi za mchangani tuendelee kufadhiliwa au sio? 🤣
Uchumi wa kati wa makaratasi, nchi inaingiaje uchumi wa kati wakati haina hata umeme wa uhakika, mvua ikipungua kidogo mnarudi kulekule.
Sisi ni maskini tunaomba waturudishe where we belong ili tuendelee kupata hiyo misaada kutoka kwa watu weupe.
Basi tushuke daraja twende ligi za mchangani tuendelee kufadhiliwa au sio? 🤣
Amefuata ushauri wenu na sasa tumeshushwa.Tupambane turudi uchumi wa kati
Leo kageuka tena[emoji23] Kuna watu wanamfanyia ndivyo sivyo raisi wetuLeo kageuka
Misaada itaongezeka, umasikini hoyeeAmefuata ushauri wenu na sasa tumeshushwa.
Je, tutapata faida gani kuendelea kuwa masikini?
Nchi ilipata pigo kuondoka kwa Magufuli. Hilo ni zengwe tu maana kuna watu wanatajirika kupitia umaskini wa watu (uwe ni umaskini halisi au wa kufikirika)Mliokuwa mnaipinga kijingajinga, mjue sasa mama ndio amesababisha tumeshushwa. Mpaka JPM anatuachia nchi tulikuwa Uchumi wa Kati licha ya COVID-19; what went wrong in just a year?