Ikibidi hakuna namnaKwa hiyo mnataka kuleta mabavu?
Kichwani mwako kumejaa viazi na hakuna ubongo!kukutia vidole
Kajifungieni na viongozi wa Chadema muandike, kwani anahitajika mwingine nani wa kuiandika hiyo katiba?Hakuna siasa nyepesi Africa
Lazima watu wawe huru kufanya siasa nchini mwao...
Fyatu la Chadema nakuona unavyofyatuka!Mwambie bibiyako afute kwanza vyama
ujinga wake wa kuvunja katiba na sheria za nchi.
Wewe huna tofauti na marehemu jpm na utakufa kwa dhuluma na uonevu pia, acha roho mbaya na chuki.Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewahutukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.
Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.
Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.
Kuwa kama hayati JPM hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.
Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.
My take; Tuskibali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
Mnaotaka katiba mjipange tuwahesabuUkweli ni huu nchi ni yetu sote, katiba mpya lazima ipatikane apende asipende nchi siyo mali yake binafsi
Mpumbavu mkubwa takataka wewe ndio wanufaika wa uchaguzi uliopita nakwambia katiba inaandikwa na nyie nyie kabla ya 2025
Ndio mwisho wenu kipindi hiki!!
Hiyo katiba ikishatikana je utaisimamiaUkweli ni huu nchi ni yetu sote, katiba mpya lazima ipatikane apende asipende nchi siyo mali yake binafsi
Weka hizo posts mbili yangu na yako zipigiwe kura uone mwenye fuvu tupu.Post uliyoweka ni jibu tosha bichwa lako ni empty
Nenda Chato labda stress zitapungua!Akili zenu zinawaza upuuzi hamna hoja zaidi ya kuvuruga taifa kwa ajili ya matumbo yenu.