Jpm unayemsujudu amechota mabilioni kwa ajili ya tumbo lake, ni suala la muda tu utajua haya mambo.Akili zenu zinawaza upuuzi hamna hoja zaidi ya kuvuruga taifa kwa ajili ya matumbo yenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jpm unayemsujudu amechota mabilioni kwa ajili ya tumbo lake, ni suala la muda tu utajua haya mambo.Akili zenu zinawaza upuuzi hamna hoja zaidi ya kuvuruga taifa kwa ajili ya matumbo yenu.
NdiyoUnaishi Tanzania?
Kachukue hayo mabilioni unayoyasemaJpm unayemsujudu amechota mabilioni kwa ajili ya tumbo lake, ni suala la muda tu utajua haya mambo.
Sijaona ubaya wowote kwa yanayoendelea.Mimi ninachoona ni wananchi wanapractise haki zao kwa mujibu wa katiba.Kama kuna sheria zinavunjwa nieleze hapa.Hujui nini kuhusu kinachoendelea?
Wananchi kupata haki zao sio sababu za kutishia mamlaka. Zipo njia za kupata na kudai haki.Sijaona ubaya wowote kwa yanayoendelea.Mimi ninachoona ni wananchi wanapractise haki zao kwa mujibu wa katiba.Kama kuna sheria zinavunjwa nieleze hapa.
Lini Chadema wametishia mamlaka na waliitishiaje hiyo mamlaka?Wananchi kupata haki zao sio sababu za kutishia mamlaka. Zipo njia za kupata na kudai haki.
Nani kakupangia cha kufanya Kamanda? What matters is obedience. Kama mnataka katiba mpya lazima mtii mamlaka sio kuleta vitisho vya kilevi.Wewe ni mpumbavu na takataka
Hakuna siasa nyepesi Africa
Lazima watu wawe huru kufanya siasa nchini mwao
Wewe ni nani uwapangie watu cha kufanya kwenye taifa huru.
Mwambie bibiyako afute kwanza vyama Vingi vya siasa ndio aje hapa kuongea ujinga wake wa kuvunja katiba na sheria za nchi.
Pumbavu zako
Katiba sio ya chadema wala ccm katiba ni takwa la watanzania wanaojitambua sio wapumbavu kama wewe.!
Mwanagang bado hukubali tu kuwa zile enzi zenu zimekwisha.Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewahutukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.
Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.
Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.
Kuwa kama hayati JPM hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.
Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.
My take; Tuskibali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
Mwenye utoto ni wewe ambae unaanzisha mada kisha unashindwa kuitetea.Nieleze chadema wameitishiaje mamlaka na kwa kufanya hivyo wamevunja sheria ipi.Fuatilia ziara za kidijitari. Kutishia kunaweza kuwa directly or impliedly. Kumbuka Chadema ni watu. Tuliza munkari acha utoto.