Rais Samia, tulikueleza mapema hawa CHADEMA sio wa kuwalegezea maana ni waganga njaa wasiojali maslahi ya taifa. Sasa mapema umeona madhara yao

Akili zenu zinawaza upuuzi hamna hoja zaidi ya kuvuruga taifa kwa ajili ya matumbo yenu.
Jpm unayemsujudu amechota mabilioni kwa ajili ya tumbo lake, ni suala la muda tu utajua haya mambo.
 
Idugunde bwana unanifurahishaga Sana kamanda yaani wewe ni Moja ya watu akili kubwa hapa jamvini

Napendekeza JF wakupe u mods wa jukwaa la siasa maana unaweza limudu Kwa akili yako kubwa ya kuchambua mambo!
 
Sijaona ubaya wowote kwa yanayoendelea.Mimi ninachoona ni wananchi wanapractise haki zao kwa mujibu wa katiba.Kama kuna sheria zinavunjwa nieleze hapa.
Wananchi kupata haki zao sio sababu za kutishia mamlaka. Zipo njia za kupata na kudai haki.
 
Nani kakupangia cha kufanya Kamanda? What matters is obedience. Kama mnataka katiba mpya lazima mtii mamlaka sio kuleta vitisho vya kilevi.
 
Mwanagang bado hukubali tu kuwa zile enzi zenu zimekwisha.
 
Fuatilia ziara za kidijitari. Kutishia kunaweza kuwa directly or impliedly. Kumbuka Chadema ni watu. Tuliza munkari acha utoto.
Mwenye utoto ni wewe ambae unaanzisha mada kisha unashindwa kuitetea.Nieleze chadema wameitishiaje mamlaka na kwa kufanya hivyo wamevunja sheria ipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…