Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kama unajua kuwa huwezi kutetea kwa hoja mada unayotaka kuianzisha ni vyema kukaa pembeni bila kuanzisha mada ili kuficha upumbavu wako.Sidhani kama unafahamu unajadili nini?
Unataka ufafanuliwe vipi we bwege? Hujui maana ya kutishia kuvuruga amani directly or impliedly?Kama unajua kuwa huwezi kutetea kwa hoja mada unayotaka kuianzisha ni vyema kukaa pembeni bila kuanzisha mada ili kuficha upumbavu wako.
Mamlaka zimewekwa na wananchi . Huko Ccm akili mmepereka wapi ?!Wananchi kupata haki zao sio sababu za kutishia mamlaka. Zipo njia za kupata na kudai haki.
Umeshindwa kunipa vitisho ambavyo chadema wametoa kwa hiyo wewe ndiye bwege.Unataka ufafanuliwe vipi we bwege? Hujui maana ya kutishia kuvuruga amani directly or impliedly?
Katiba inakusaidia nini jomba? Toka 77 tupo na hiii hii na ugatuzi wa madaraka unafanyika kwa amani unataka nini tena hii issue iko political oriented haina sense katika social factor ambazo zinawagusa walio wengi nikimaanisha wananchi lengo ni kuiondoa ccm madarakan its fine chama gani kina nguvu ya kuweza kukamata dola baada ya kuondoka CCM? Jibu ni hamna tuendelee na ccm mpaka pale upinzani utakapokua na ajenda ya kitaifa sio hizi agenda mdandioUkweli ni huu nchi ni yetu sote, katiba mpya lazima ipatikane apende asipende nchi siyo mali yake binafsi
Nenda uani then ukalaleHiyo katiba ikishatikana je utaisimamia
Olewa umri umesogeaKatiba inakusaidia nini jomba? Toka 77 tupo na hiii hii na ugatuzi wa madaraka unafanyika kwa amani unataka nini tena hii issue iko political oriented haina sense katika social factor ambazo zinawagusa walio wengi nikimaanisha wananchi lengo ni kuiondoa ccm madarakan its fine chama gani kina nguvu ya kuweza kukamata dola baada ya kuondoka CCM? Jibu ni hamna tuendelee na ccm mpaka pale upinzani utakapokua na ajenda ya kitaifa sio hizi agenda mdandio
Anza na dingi yakoMnaot
Mnaotaka katiba mjipange tuwahesabu
Mko wangapi?
Katiba inatakiwa yenye akili na sio katiba njaa.
Huwezi kunilazimishia kuwa kinachoendelea ni uvunjifu wa sheria wakati hakuna sheria iliyovunjwa na pia umeshindwa kuthibitisha na hata kusema sheria zinazovunjwa ni zipi.Haya yote yanathibitisha kuwa wewe ndiye Pimbi.Kama unadai unafuatilia kinachoendele nchini na hujui kinachoendelea basi wewe ni pimbi.
Amani au ukondooKwa kuwa zimewekwa na wananchi ndio tusitii na kuleta mikwara ya kuvuruga amani?
Nina miaka 16 vipi tayari? Au tusubiri kwanzaOlewa umri umesogea
Fyatu la Chadema nakuona unavyofyatuka!
Huu mkwara wako kwanini hukuwahi kumwambia Magu?Ukweli ni huu nchi ni yetu sote, katiba mpya lazima ipatikane apende asipende nchi siyo mali yake binafsi
Kwa hiyo mnataka katiba mpya sababu mlipigwa kwenye uchaguzi 2020Mpumbavu mkubwa takataka wewe ndio wanufaika wa uchaguzi uliopita nakwambia katiba inaandikwa na nyie nyie kabla ya 2025
Ndio mwisho wenu kipindi hiki!!
Kwa hiyo Magu kafa sababu alitaka chadema ife?Bora usingeanzisha Uzi huu labda wangedhani wewe ni wa maana. Lakini tukio lako hili hata Baba yako anaona aibu kukupereka shule.
HUNA AKILI. Huyo JPM aliyewakazia kuhakikisha anakiua chama . Nani katangulia kuzimu ?! Cdm au yeye !!
Ubabe mliuweza lini nyie? Ni kwamba kawalegezea tu, akiamua kukaza wote mtaufyata tu.Ikibidi hakuna namna