Rais Samia: Tumeshalipia treni 19 za Umeme na mabehewa 89, Seti 10 za treni na mabehewa 80 kwaajili ya mizigo

Wonderful
 
Safi Sana Tanzania,
 
Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
 
Hongera sana Tanzania
 
Kazi iendelee kufanyika
 
Tukitaka faida tubinafishe management tutafute kampuni ya nje isimamie kuendesha
 
Tanzania
 
Ukipewa nafasi ya kumshauri SSH utamwambia kipi kianze na kipi kimalizike?.
 
Tuendelee kumuunga mkono mama huyu anafanya maajabu,
 
Machen I mama apumue jana tu ndo karudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…