Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Asaalaam Aleykum wabarakatu!
Awali ya wote nikupongeze kwa kazi nzuri mama yetu Mh. Rais pia nikupepole kwa kazi hio ngumu.
Niende kwenye mada mama, nakuomba au nnaimani umepita pita mitandaoni nakuona comments za raia wako walivotoa maoni yao juu ya teuzi (mkeka) wa ma DC.
Leo sitotaka kuzumzia saana hao wengine kwakua sina mashaka nao saana kama watafuata miendo ya viongozi vijana ambao hawakutegemewa kufanya vizuri na wakafanya maajabu.
Mh. DC Joketi Mwagelo anastahili Pongezi kwa mapinduzi makubwa yenye mafanikio katika uongozi wake ambapo alifanikiwa hadi kuwaziba midomo wapinzani.
Hawa ndio aina ya viongozi vijana tunaowataka ambao hawawazi umaarufu kwa kujibizana na wapinzani zaidi ya kupiga kazi kwa uweledi na ubunifu yakinifu.
Sasa mama unaona wanakisarawe wanavyolia kwann umemuondoa Mh. DC J. Mwagelo, mama angalia sisi wengine tunavyohuzunika pamoja nao! Mama raia tunaona kama kazi bado hajamaliza kwann umlete Temeke?
Joketi anafaa maeneo ambayo jamii husika bado imelala, imelala kielimu, tamaduni, utalii, n.k. kisarawe kabla ya DC. J. Mwagelo ilikua inaidadi ndogo sana ya wageni yaani uwepo wake tuu hata utalii wa ndani uliongezeka.
Sasa mama hatupingi siajabu kuna uliloliona kwa temeke linamfaa Hilo hatupingi ila si tunatoa dukuduku letu tuuu.
Alafu mama kuna wengine eti wanataka umpe uwaziri kabisa ikiwezekana Utalii au michezo mi mwenyewe "nimewashangaa"😊😊😊