Rais Samia, tunahuzunika kumuondoa Kisarawe DC Jokate

Rais Samia, tunahuzunika kumuondoa Kisarawe DC Jokate

Kwanza mleta mada jisahihishe.
Hebu weka heshima, kwa nafasi aliyo nayo sio tu kumwita mama!
Weka heshima yake Rais na ikiwezekana basi Mheshimiwa Rais SSH. Baada ya hilo umwage machungu yako. Hata hivyo kilio chako hakina mshiko sana kwani tunahitaji watenda kazi kama huyu na wote waliopata teuzi wajifunze kutoka kwake.
 
Back
Top Bottom