EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Ndio wanaoharibu uchaguzi maana ndio wanaotangaza matokeo ya Ubunge na UdiwaniNi kweli poti. Wakurugenzi wamejaa makada hata taratibu za kiutumishi hawazijui. Mwendazake ameharibu sana nchii hii
Kuwalaumu ni kuwaonea tu refNdio wanaoharibu uchaguzi maana ndio wanaotangaza matokeo ya Ubunge na Udiwani
Tume HURU ya Uchaguzi ilipaswa kuwepo kuliko kuwa na Afisa UCHAGUZI anayekula msahara wa LSSE1, UTILITY alawansi, and the like kama Mkuu wa Idara. Halafu amtangaze mpinzani?Kuwalaumu ni kuwaonea tu ref
"yani nakulipa mushahara harafu utangaze mpinzani"
Sifa ni kuw mtz mchapakazi mwaminifu na mzalendo na pia mwelevu siyo lazima awe public servant mkuu!Ilikuwa taratibu za kiutumishi kwamba vyeo vya kiutendaji wa kiserikali kama Katibu Wakuu wa Wiraza na Naibu wao, Katibu Tawala wa Mkoa na Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri ya Jiji, Manispaa, Wilaya na Miji kuwa ni Watendaji Wakuu au Waandamizi wa Utumishi wa Umma na sio wanachama wa vyama vya Siasa...
Hizi sifa ni zako Mkuu au ndio zilizopo kwenye katiba???Sifa ni kuw mtz mchapakazi mwaminifu na mzalendo na pia mwelevu siyo lazima awe public servant mkuu!
Wamo na walimbwende wa miaka ile, sijui huku Shitimbi wataweza kuishi kweli na wameshozoea maisha ya kula bata jijiniIlikuwa taratibu za kiutumishi kwamba vyeo vya kiutendaji wa kiserikali kama Katibu Wakuu wa Wiraza na Naibu wao, Katibu Tawala wa Mkoa na Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri ya Jiji, Manispaa, Wilaya na Miji kuwa ni Watendaji Wakuu au Waandamizi wa Utumishi wa Umma na sio wanachama wa vyama vya Siasa...
...haahaa shida kubwa kanuni na sheria za utumishi wa umma wengi hawazijuiHizi sifa ni zako Mkuu au ndio zilizopo kwenye katiba???
Ni zangu na mama wa macho na sauti mlegezo! Ila nampenda huyu mama yetu, asije tu kuniuzi kwa kuenda mbali na 'right direction/track' tuliyotoka nayo 2016🤔!Hizi sifa ni zako Mkuu au ndio zilizopo kwenye katiba???
😁 Macho na sauti mlegezo...Ni zangu na mama wa macho na sauti mlegezo! Ila nampenda huyu mama yetu, asije tu kuniuzi kwa kuenda mbali na 'right direction/track' tuliyotoka nayo 2016🤔!
Hii ni kwa mujibu wa mwenda zake. Je katiba na sheria zinasemaje?Sifa ni kuw mtz mchapakazi mwaminifu na mzalendo na pia mwelevu siyo lazima awe public servant mkuu!
DAS ni mtendaji na sio mwanasiasa kama DCSifa ni kuw mtz mchapakazi mwaminifu na mzalendo na pia mwelevu siyo lazima awe public servant mkuu!
Huna akili.Hawa watumishi wazembe ndio wateuliwe? Mara mia hata hao UVCCM
Nani alistahili umakamu wa rais?-Kwenye makamu wa Rais (Alichemka vibaya)
-Baraza la mawaziri (Alichemka vibaya)
-Mabalozi (Alichemka kiasi)
-Wakuu wa mikoa (Alichemka vibaya)
-Wakuu wa wilaya (Amechemka vibaya sana)
Naona hujayajua bado mamlaka ya rais wa JMT ww😜!Hii ni kwa mujibu wa mwenda zake. Je katiba na sheria zinasemaje?