Rais Samia, tunakusubiri kwenye U-DAS na Watumishi wa Umma

Mamlaka ya Rais hata wewe hujui ni kwamba anapaswa kufuata Sheria za nchi
Sikumaanisha atavunja sheria, lah hasha atafuata sheria zinazompa mamlaka ya kuchagua nje ya box kama JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power 🙏, amen🙏)!
 
Subiri mshtuko[emoji12]! Mamlaka aliyonayo rais wetu hayamfungi hivyo akiamua vinginevyo!
Nyerere alisema katiba tuliyo nayo akipewa nchi kichaa hamna rangi tutaacha ona. Na kweli akapewa kichaa nchi ila bahati nzuri Mungu ni fundi mkweli na hafanyi makosa.
 
Sikumaanisha atavunja sheria, lah hasha atafuata sheria zinazompa mamlaka ya kuchagua nje ya box kama JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power [emoji120], amen[emoji120])!
Hata hapumziki saivi anaongoza Angels[emoji3319][emoji3319][emoji3319]
 
Uteuzi uzingatie uwezo wa kuongoza familia zao pia.
Ni fedhea kuona mteuliwa hakubaliki hata na watoto wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…