sema rais wako mpendwa, not wetu...., acha sweeping statementsMheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu Hassan una mapenzi ya dhati ya mpira wa miguu.
Hata hivyo, tunakuomba mheshimiwa Rais hakikisha kabla ya kumaliza muda wako 2030 uhakikishe ya kwamba umeacha misingi ya uhakika ili taifa letu liweze kufikia kiwango cha mataifa yaliofanukiwa kwenye football.
Hivyo, tunamba serikali yako tukufu inaweka mazingira ya kuhakikisha ya kwamba nchi Inakuwa na mfano wa kisasa ambao utawezesha kupata wachezaji sahihi na wenye umri sahihi.
Watanga wenyewe wengi wanakimbilia ZanzibarMnyanjani Tanga mbona ipo na nzuri tu
Ipo ile ya kidongo chekundu sijui ii hali gani!Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu Hassan una mapenzi ya dhati ya mpira wa miguu.
Hata hivyo, tunakuomba mheshimiwa Rais hakikisha kabla ya kumaliza muda wako 2030 uhakikishe ya kwamba umeacha misingi ya uhakika ili taifa letu liweze kufikia kiwango cha mataifa yaliofanukiwa kwenye football.
Hivyo, tunamba serikali yako tukufu inaweka mazingira ya kuhakikisha ya kwamba nchi Inakuwa na mfano wa kisasa ambao utawezesha kupata wachezaji sahihi na wenye umri sahihi.
Nadhani hata kama ipo si ya ukubwa na kwa kiwango kinachoweza kuzalisha wachazaji wa kiwango ndio maana kila siku Simba na Yanga wanakimbili DRC na ZambiaMnyanjani Tanga mbona ipo na nzuri tu
Ni aibu kuokoteza wachezaji kwenye Taifa kama Hili ambalo watu wake wanapenda mpira.Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu Hassan una mapenzi ya dhati ya mpira wa miguu.
Hata hivyo, tunakuomba mheshimiwa Rais hakikisha kabla ya kumaliza muda wako 2030 uhakikishe ya kwamba umeacha misingi ya uhakika ili taifa letu liweze kufikia kiwango cha mataifa yaliofanukiwa kwenye football.
Hivyo, tunamba serikali yako tukufu inaweka mazingira ya kuhakikisha ya kwamba nchi Inakuwa na mfano wa kisasa ambao utawezesha kupata wachezaji sahihi na wenye umri sahihi.
Sahihi anawasemeaje watusema rais wako mpendwa, not wetu...., acha sweeping statements