Rais Samia, tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi

Baada ya Tangazo la kushusha gharama za kuingiza umeme vifaa vya wiring Bei imepanda ghafla
 
Naomba kujua Bei ya PVC zinawekwa juu kwa nje kwenye paa kuzunguka nyumba
 
Naomba kujua Bei ya PVC zinawekwa juu kwa nje kwenye paa kuzunguka nyumba. Yaani PVC ceiling plates
 
Naomba kujua Bei ya PVC zinawekwa juu kwa nje kwenye paa kuzunguka nyumba. Yaani PVC ceiling plates
zile bei chee tu ukilinganisha na ule mfumo wa kizamani wa kuziba juu kwa kutumia tofali ni gharama sanaa kuanzia tofali cement...wakati ukinunua pc board ni nafuu zaidi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…