Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Baada ya Tangazo la kushusha gharama za kuingiza umeme vifaa vya wiring Bei imepanda ghafla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zile bei chee tu ukilinganisha na ule mfumo wa kizamani wa kuziba juu kwa kutumia tofali ni gharama sanaa kuanzia tofali cement...wakati ukinunua pc board ni nafuu zaidi mkuuNaomba kujua Bei ya PVC zinawekwa juu kwa nje kwenye paa kuzunguka nyumba. Yaani PVC ceiling plates