Mh Rais kwa asili ya watu wa haya maeneo fujo, ubabe na kulindana pia hizi wilaya kuna baadhi ya wakulima wa bangi ,watumiaji na wasafirishaji na wizi wa mifugo, uvamizi na unyang'anyi wa kutumia silaha na ikizangatia haya mambo yanahusisha na nchi jirani (mpakani)
Naomba ubadilishe mkuu wa wilaya ya Rorya mlete mkuu wa wilaya ambaye atatokana na vyombo vya ulinzi na usalama ili kuimarisha usalama wa wananchi wa mpakani.
Kwa Tarime sawa ila kwa Rorya na Serengeti bado,tunataka wakuu wa wilaya watoke vyombo vya ulinzi na usalama ili kudhibiti vitendo vya kiharifu vilivyoanza kushamiri siku za karibuni.
Naomba mh Rais ufanye hivyo