Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Rais Samia akiwa kwenye ziara ya Kikazi Mkoani Dodoma amesema Tanzania imeweza kuvutia mitaji kutoka kwa wabia muhimu kama Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kutokana na 'Utulivu na Amani, Sera nzuri za Kiuchumi, Usimamizi dhabiti wa Miradi' mbalimbali ya maendeleo na kujituma kwa Watanzania wenyewe kujenga nchi yao