Mdomo mtupumaneno tupo ayajengi
Wanasiasa
Hata akifanya ziara inasaidia nini zaidi ya kuongeza gharama?Tangu Hayati Magufuli kufariki mama ni kama vile kaipa kisogo mikoa ya maziwa makuu, huwa najiuliza ni lini ataanza ziara za mikoani?
Majawaliwa kila wiki yupo hukoMwanza tena.. Ni lini na sisi wa mikoa ya nyanda za juu kusini tutatembelewa na Madam
kheeeRais Samia: Tunataka Mwanza iwe kitovu cha biashara nchi za maziwa makuu, lazima tuiendeleze Mwanza iwe kitovu majirani wasitupite. Yale yote yaliyopangwa na serikali ya Mkoa wafuateni nayo, Serikali kuu tuko nyuma yenu tunakwenda kumaliza shida zilizobakia.
Najua kuna ahadi ya mpendwa wetu Marehemu ya barabara km 12.4, niwaahidi tunakwenda kuifanyia kazi, atakuja mkandarasi.Najua katika maeneo yenu umeme unakatika mara kwa mara, jawabu ya hili ni kuja kuongeza nguvu na kujenga kituo kidogo cha kufua umeme ndani ya mji wa Mwanza, tutamtaka waziri wa Nishati aje kuondosha tatizo.
Pale kuna hoteli ya nyota tatu ya tanapa...kitovu cha utalii Chato kimefikia wapi??
Mwanza tena.. Ni lini na sisi wa mikoa ya nyanda za juu kusini tutatembelewa na Madam
lazima tuiendeleze Mwanza iwe kitovu majirani wasitupite.
Tuliza boli nyie hamna bahari vipi iwe kitovu cha biashara ,munaanza muhemuko tena.Rais Samia: Tunataka Mwanza iwe kitovu cha biashara nchi za maziwa makuu, lazima tuiendeleze Mwanza iwe kitovu majirani wasitupite. Yale yote yaliyopangwa na serikali ya Mkoa wafuateni nayo, Serikali kuu tuko nyuma yenu tunakwenda kumaliza shida zilizobakia.