Rais Samia tunaye na tunatamba naye, Oktoba tunatiki

Ya kuvuta kwa kamba na kushurutisha watu wafunge biashara🤣🤣🤣
 
Chama kimepoteza dira...
Kiongozi amekuwa mtu wa kusikiliza miluzi ya kila upande..
Anasahau kuwa miluzi mingi humpoteza mbwa..
Wanachama wamegeuka wanafiki, wakiwa peke yao wanasema kiongozi anawapoteza na kuharibu chama....
Wakiwa ndani ya chama wanadai watampa kura za ndiyo... Na mitano tena..

Ogopa sana wanafiki..
 
Mama anatosha na October tunamchagua tena kwa kishindo
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…