mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana JF
Katika kitu kigumu ni kuamini kama serikali kupitia kiongozi wake anaweza kudhurumu pesa isiyo yake kutoka kwa wale walioingiwa na huruma wakachangia watu wajistri na pesa inayobaki waunganishe na yabdharura ya maafa kujenga miundo mbinu.
Bado tuna kumbu kumbi waliochangia maafa ya tetemeko kagera
WATANZANIA HATUJASAHAU NA HATUTASAHAU YALIYOTOKEA KATIKA TETEMEKO LA KAGERA
Na @Godbrown Aminael (KTB MB UKONGA )
1. Rais Uhuru Kenyata alichangia wahanga million 200.
2. Serikali ya Korea Kusini iliwachangia wahanga million 108.
3. Serikali ya Uingereza iliwachangia wahanga billion 6
4. Askofu mkuu wa EAGT Brown mwakipesile alichangia million 10.
5. Kiongozi wa Upinzani Freeman Mbowe million 5.
6. Waziri mkuu wa india NARENDRA MODI na serikali yake walichangia million 545.
7. Mchungaji King James wa kanisa la PAG. kahororo kyamaizi bukoba alichangia million 3.
8. United States of America ilichangia billion 6.
9. Jasem al - najeola barozi wa Kuwait alichangia dora za marekani elfu 33.
10. Rais Yoweri Museveni wa Uganda alichangia million 430 kupitia serikali yake.
11. Said Salimu Bakharesa alichangia million 100.
12. Reginald Mengi alichangia million 110.
13. Baraza la wawakilishi Zanzibar lilichangia milioni 30.
14. Caspian Omid Kalambech alichangia million 190.
15. Kiongozi wa madhehebu ya Bohora alichangia dola za marekani elfu 33.
16. Umoja wa vijana wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema BAVICHA walichangia million 7.
17. Balozi Hamis Kagasheki milioni 5.
18. UVCCM mwanza milioni 3.
19 .Mch. Gertruda Rwakatale million 10.
Kwa mujibu wa ripoti ya maafa iliyo tolewa na mkuu wa mkoa wa Kagera Ndugu Kijuu wakati ule ni kwamba nyumba zaidi ya 1200 ziliadhirika na tetemeko hilo.
Ukilinganisha na kiasi hicho cha fedha kilicho changwa na wadau mbalimbali niwazi kila mhanga angeweza kujengewa nyumba nzuri.
Kwa mujibu wa Pombe Magufuli aliwajibu wanakagera serikali haina fedha za kuwajengea nyumba na hakuna serikali yoyote duniani iliyowai kuwajengea wahanga wa matetemeko nyumba! Na kwamba serikali siyo iliyoleta tetemeko na wala katika kampeni za Uchaguzi hakuna mahali aliahidi kuwa ataleta tetemeko.
Magufuli alienda mbali zaidi na kusema fedha zilozo changwa zitajenga miundominu ya serikali iliyo haribiwa na tetemeko hilo.
Ni kumbukumbu tu, sitasahau hili