Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Kwa maneno mengine hapa Rais Samia ni kwamba anasema hizo taasisi za nje zitapiga kelele tu kuhusu mauaji yaliyotokea ndani na wahusika kuwajibishwa na uchaguzi wenye matobo mengi ambao umempa yeye ushindi lakini hakuna kitu wanaweza fanya, na wakimaliza watakuja kutia pesa kama kawaida mambo yasonge!
Yaani hakutakuwa na nywi wala nywi nywi nywi, huku polisi wakidunda zao mtaani na kupongezwa kwa kazi nzuri, maana mpaka Rais anawakingia kifua kwa ufedhuli waliofanya, namba moja mwenye alipasa kulinda wananchi anasema hakuna kitu wataafanya, watake nini tena?
Hapo na ruhusa ya kuendelea na utekaji ishatoka hiyoooo, kama kwa mauaji yale wanakingiwa kifua vipi kuhusu kuteka na kuwataabisha wasumbufu wawili watatu?
na kwa maneno haya Rais anazidi kuthibitisha kwamba alitoa order kwa vyombo vya ulinzi kuua yeyote anayejitia kumpiga, au kusimama kati yake na kiti cha Urais!
Hii kiburi ni ya rangi gani Wakuu?
Ila yote heri, dunia inazidi kukusanya vithibitisho vya kuja kukusulubu siku yako ikifika!
====
Akiwa anawaapisha mawaziri na manaibu waziri wateule Rais Samia amesema mara nyinggi nchi inategemea mikopo kutoka taasisi za nje lakini yaliyotokea nchini (anashindwa kusema mauji ya polisi🌚) yametia doa nchi kupata mikopo hiyo kirahisi.
Hivvyo kuna kazi kubwa mbeleni ambapo badala ya kutegemea mikopo hiyo wanatakiwa kutumia rasilimali zilizopo ndani na kufikiria namna ya kupata fedha ili kutekeleza miradi waliahidi kututekeleza.
Anasema kubwa zaidi ni kuwa wataanza kufanya miradi wenyewe halafu mashirika yatawakuta njiani na kuungana nao. "Hatutakaa kusubiri, tunauza mradi, tyunakwenda kubembeleza, mradi unakubaliwa, lakini nendeni karekebisheni hili, kamkiss yule, sijui kamfanyaje... mraadi baada ya kupata approval kwa miezi minne unachukua mwaka mzima! Mpaka kibali kinatoka tuna miaka miwili ya kumaliza muhula wetu - hatutasubiri hayo! Tutaanza kwa fedha ya ndani, halafu wale wakimaliza na objection zao watatuunga katikati"