DahKatika hotuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutubia bunge la 13 amesema Serikali yake itaendelea kulida uhuru wa vyombo vya habariili watanzania aweze kupata haki
TapelKatika hotuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutubia bunge la 13 amesema Serikali yake itaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari iliwatanzania aweze kupata haki ya taarifa za ndani na nje ya nchi
Pia amesema wataendelea kutambua waandishi wa habari kupitia tuzo za Samia kalamu wakihakikisha wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi
Zilongwa mbali.....Katika hotuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutubia bunge la 13 amesema Serikali yake itaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari iliwatanzania aweze kupata haki ya taarifa za ndani na nje ya nchi
Pia amesema wataendelea kutambua waandishi wa habari kupitia tuzo za Samia kalamu wakihakikisha wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi
RubbishKatika hotuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutubia bunge la 13 amesema Serikali yake itaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari iliwatanzania aweze kupata haki ya taarifa za ndani na nje ya nchi
Pia amesema wataendelea kutambua waandishi wa habari kupitia tuzo za Samia kalamu wakihakikisha wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi
Yaani🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️View attachment 3501860
hivi mama anatuonaje ..? hv hiki kizazi anadhani ninkizazi kile cha mwaka 70 au