PostGE2025 Rais Samia: Tutaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari ili watanzania wapate haki ya taarifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Madhara ya maamuzi yasiyo ya kizalendo na yasiyo na maslahi kwa taifa ilikuwa ni pamoja na uminywaji wa uhuru wa habari na vyombo vya habari na moja ya sheria mbovu ilikiwa ni pamoja na ilesheria habari iliyolalamikiwa sana,ila ikapuuzwa,fikiria vifo kadhaa vilichangiwa na kufungwa mdomo media za taifa hili,hali sii salama vyombo vyote vinapiga muziki,je mtu wa kawaida anapata habari kutoka wapi juu ya hali isiyosalama kutoka nyumbani na kwenda kwenye majukumu ya uzalishaji ya kila siku?
 
Hili zombie la kizimkazi lililozoea kunyonya damu za watu, Hutumia neno "huru" kuficha vitendo viovu. Watanzania c wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…