PostGE2025 Rais Samia: Tutaendelea kuongozwa kwa misingi ya waasisi, nguvu inayokusudia kutuchafua hatutakubali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kwenye hotuba yake amesema kama taifa tunapenda tuheshimiwe kama sis tunavyoheshimu mataifa mengine, na katika kulinda maslai ya nchi hakuna mbadala ni lazima tuhakikishe tunalinda heshima, utu na uhuru wetu"

"Tutaendelea kuongozwa na misingi ile ile ya sera ya nje iliyoasisiwa na waasisi wetu ya kutofungamana na upande wowote, msimamo wetu ni umoja na ushirikiano badala ya mgawanyiko, majadailiano badala ya amri au mabavu na haki badala ya visasi, nguvu inayokusudia kuchafua misingi hiyo hatutakubaliana nayo”

Kiburi cha madaraka ndiyo chanzo cha matatizo yote nchini. Na kama kitaendelea kutamalaki kupitia huzi sanaa zao na maigizo; basi tutegemee hali kuwa mbaya zaidi siku za usoni.
 
Hamna rais bali kwikwi.
Huyu mama kama ungefanyika uchaguzi huru na wa haki. Kura zake zinge range kwenye 2-4 milion.
 
Kwenye hotuba yake amesema kama taifa tunapenda tuheshimiwe kama sis tunavyoheshimu mataifa mengine, na katika kulinda maslai ya nchi hakuna mbadala ni lazima tuhakikishe tunalinda heshima, utu na uhuru wetu"

"Tutaendelea kuongozwa na misingi ile ile ya sera ya nje iliyoasisiwa na waasisi wetu ya kutofungamana na upande wowote, msimamo wetu ni umoja na ushirikiano badala ya mgawanyiko, majadailiano badala ya amri au mabavu na haki badala ya visasi, nguvu inayokusudia kuchafua misingi hiyo hatutakubaliana nayo”

Imani yangu ni kuwa Mchanganishi wa

Imani yangu ni kuwa mchonganishi wa Watanzania ni nguvu za kutoka ndani yetu wenyewe,na iwapo wapo wanaofikiriwa kutoka nje,nguvu hiyo tunawapa sisi wenyewe wa kutoka ndani kwa matendo yetu,maneno yetu,dharau zetu kwa watu wetu na hata wale ambao ni washirika wetu ama kwa kujua ama kwa kupuuza yale ambayo ni msingi wa kibinaadamu,ambao unatambulika na kukubalika duniani kota. Ambao ni haki za kiasili kabisa bila kuitaja siasa ama mazingira mengine.
 
Huyu bibi hamnazo kweli kweli!

Mfano Lisu yupo ndani kwa sababu zipi?

Wale waliopigwa risasi mtaani ilikuwa ni kwa sababu zipi?
Magufuli alimtandika Lissu Risasi na ilipelekea kumpa Samia misukosuko alipoenda kumuona Nairobi Hospital kwa sababu zipi? Ni kwa Sababu zipi mlishabikia sana Lissu kupigwa risasi na sababu zipi zinawafanya muumie Leo akiwa gerezani?
 
Back
Top Bottom