PostGE2025 Rais Samia: Tutakuwa na Wizara ya Vijana na Washauri wa Mambo ya Vijana ndani ya Ofisi ya Rais

PostGE2025 Rais Samia: Tutakuwa na Wizara ya Vijana na Washauri wa Mambo ya Vijana ndani ya Ofisi ya Rais

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais Samia amesema tumeamua kuwa na wizara kamili badala ya kuwa na idara ndani ya wizara yenye mambo mengi, vile vile ninafikiria kuwa na washauri wa masuala ya vijana ndani ya ofisi ya rais.

 
Upumbavu wizara ya Ridhiwan ni wizara ya nini kwa nini mnaogeza wizara mzigo kwa wananchi
 
Wizara ya Abduli?
Familia yake yote kawapa shavu sasa anamtafutia shavu Abduli naye awe waziri wa ikulu ya kizimkazi?
 
Back
Top Bottom