Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kigoma Mjini leo Septemba 14, 2025 akiendelea na kampeni za CCM amewahakikishia wananchi kuwa katika miradi yote iliyoanzishwa na kutekelezwa na serikali kama kuna maeneo ya wananchi iliyochukuliwa fidia zote zitalipwa akisistiza kuwa serikali ya chama cha mapinduzi (CCM) haidhulumu mtu.