GE2025 Rais Samia: Tutalipa fidia zote, Serikali ya Chama cha Mapinduzi haidhulumu mtu tutakuja kulipa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kigoma Mjini leo Septemba 14, 2025 akiendelea na kampeni za CCM amewahakikishia wananchi kuwa katika miradi yote iliyoanzishwa na kutekelezwa na serikali kama kuna maeneo ya wananchi iliyochukuliwa fidia zote zitalipwa akisistiza kuwa serikali ya chama cha mapinduzi (CCM) haidhulumu mtu.


Your browser is not able to display this video.
 
Utaratibu ni kulipa kabla ya mradi kufanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…