Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Kuna kipindi tulikuwa tunasikia uchumi umekua. Leo tunasikia uchumi kuporomoka kutoka asilimia saba 7% mpaka nne desimali saba 4.7% na matarajio ya mwaka huu ni kukua angalau kufikia asilimia tano desimali tano 5.5%.
Rais Samia amesema,
Kuhusu kuwapa pensheni Wazee wote (mkulima, mvuvi n.k ) tulipiga hesabu tukaona ni ngumu na kwa hali ilivyo sasa tumeingia uchumi wa kati ila janga la Corona limetushusha kiuchumi Tanzania, sitaki kuwadanganya Wazee wangu naomba mnipe muda niangalie uchumi unavyokua.
Corona imeshusha Uchumi karibu wa Dunia nzima. Sisi uchumi wetu umeshuka kutoka takribani asilimia 7 mpaka aslimia 4.7 hivi. Pamoja na kwamba tutajitutumua tukue lakini tuna miradi mikubwa ambayo inahitaji kukamilika.''
Wazee mmeambiwa ukweli, taifa limeambiwa ukweli. Sera na miongozo ya Serikali vinahitaji kushadidishwa na misingi ya maadili na malezi. Heshima kwa wazee ni jambo linalokwenda kupewa kipaumbele.