Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Isidori?Usisahau huyo Makamu wa Rais ndiye alikuwa mpikaji mkuu wa hizo takwimu! Sijui kwa sasa anajisikiaje!
Kuna kipindi tulikuwa tunasikia uchumi umekua. Leo tunasikia uchumi kuporomoka kutoka asilimia saba 7% mpaka nne desimali saba 4.7% na matarajio ya mwaka huu ni kukua angalau kufikia asilimia tano desimali tano 5.5%.
Wazee mmeambiwa ukweli, taifa limeambiwa ukweli. Sera na miongozo ya Serikali vinahitaji kushadidishwa na misingi ya maadili na malezi. Heshima kwa wazee ni jambo linalokwenda kupewa kipaumbele.
A silly rulerMagufuli alikuwa anatuambia uchumi wa Tanzania umezidi kupaa juu na utapaa juu zaidi katikati ya janga la Corona duniani maana Tanzania hatuna Corona, hakuna kuvaa barakoa, hakuna lockdown, hakuna kuweka watu karantini, watalii wanamiminika, tunazalisha ili kuwauzia wengine duniani nk.
Sijui nani mkweli?